video ya kamili gado haijakaa sawa

video ya kamili gado haijakaa sawa

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,260
ukisikiliza wimbo wa kamili gado ukaja kutazama na video yake unajikuta unapunguza thamani ya wimbo wenyewe. Katika video hii prof j yuko tu na warembo mwanzo mwisho na anaonekana zaidi kutuhadithia sisi kuliko kumsisitizia huyo kimwana ambaye hata hivyo hatumuoni kwenye video. Mnatumia gharama kubwa bila kulenga maudhui ya nyimbo husika.

Video bora za J naona ni tatu hivi kuanzia na ile ya sitimbi, hapo vipi na zali la mentali.

Enyi wanamuziki wa bongo tasnia hii imekuwa. Mtutafute tuwaandikie script za nyimbo zenu zipate kuwa bora@zaidi
 
Back
Top Bottom