Afande Sele na 20% Wajeruhi na kuharibu Mali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande Sele na 20% Wajeruhi na kuharibu Mali.

Discussion in 'Entertainment' started by PakaJimmy, Apr 6, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wanamuziki wawili, Selemani Msindi aka Afabde Sele na mwenzake 20% wamefikishwa katika mahakama mjini Morogoro hapo jana Alhamisi baada ya kuleta fujo katika eneo la Benki ya NMB Morogoro.

  Wanamuziki hao wanadaiwa kuvunja vioo vya gari la askari polisi, pamoja na la Manispaa ya Morogoro lenye namba za SM, na pia kumjeruhi na kumkata kwa panga mtu aitwaye Ramadhani Waziri, ambapo walimkata vidole.

  Wameachiwa kwa dhamana ya shs laki nane kila mmoja na mdhamini mmoja, ambapo hukumu yao inasubiri majaliwa ya afya ya mtu waliyemjeruhi.
  Source: TBC2 news Bulletin.

  My take: Bangi si kiburudisho....ni mateso!
   
 2. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Wamevuna walichopanda, hivi afande Sele na chama cha C.U.F wana uhusiano gani? coz nimemwona Mtatiro na baadhi ya wanasheria wa C.U.F pale mahakamani na ndo walihangaika kumtafutia dhamana afande Sele.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hata mimi imeniacha hoi, huenda hata huo Ubunge anaouota Afande Sele ni kwa kupitia CUF!
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  kaaazi kweli kweli
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,608
  Trophy Points: 280
  Bangi si chai acha wawehuke!!
   
 6. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ustar unamsumbua tu.
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Afande Sele anataka kugombea ubunge kupitia CUF
   
 8. serio

  serio JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,927
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  bangi.....nooooooomaa
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  bangi mbichi + kuberi + ugoro = Fujo
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndio hivyo mgombea wao kumbe anavuta sigara kubwa sijui itakuwaje wakati wa kumsimamisha jemba huyo...
   
 11. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Yaani Afande na mwenzie walikua wanatumia mapanga live lol:)
   
 12. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Sometimes mtu ni Chizi, hooligan au psycho tunasingizia Bangi
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wakikua wataaacha!!!
   
 14. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je hawa ndio wanaojiita kioo cha jamii? Je kwa hili jamii ijifunze nini kutoka kwao. Kwa sasa afande ni raia wa kawaida anatumia panga hadharani, je akiwa mbunge si atatumia bastola kama marehemu d...........?
   
Loading...