Watanzania tumeumia, pengo lake kiukweli ni ngumu sana kuliziba, ndugu zangu kwetu vijana ametufundisha penye nia pana njia amefanya mengi na makubwa tungo zake zimegusa kila rika. kama wimbo wako yatupasa tuinue macho nakutafakari sana. Tujitahidi kujiaandaa hapa duniani. Tujiulize kama vijana tutakumbukwa kwa yepi mazuri hata ktk mitaa yetu tu tunapoishi au vijiji vyetu inauma watanzania wenzangu kuna msemo unasema tuyatende mema kadiri Mungu anavyotujaalia hata tukija kufa tuje kukumbukwa ktk nyoyo za jamii sio tukumbukwe kwa rangi au majina yatakayo andikwa kwenye makaburi yetu.
POLENI SANA WATANZANIA WENZANGU ITOSHE KUSEMA KANUMBA HE CAME HE DID THEN HE WENT THANK YOU GOD.
POLENI SANA WATANZANIA WENZANGU ITOSHE KUSEMA KANUMBA HE CAME HE DID THEN HE WENT THANK YOU GOD.