Mywaji wa kawaida anaweza kuywa avarage ya bia 6 kila siku.( jumlisha zoote hadi za harusini na misherehe mingine ) Hii ina maana anakunywa litre 3 kila siku. Hizi ni swa na litre 90 kwa mwezi...
Nina uhakika mengi yamesemwa kuhusu hili, lakini mbona sioni mabadiliko jamani??yani unakuta movie inaenda taratiiiiiiibu...kitu kinachukua saa moja na nusu-content is poor!alafu naambiwa watchout...
"Ukiwa kama mdau mkuu wa kazi za Hussein Machozi Nakuomba usikilize wimbo huu na utoe maoni yako kwa usahihi ..kwa kufanya hivo utakua umemsaidia Hussein Machozi katika krekebisha alicho...
Nina tune radio yangu, ninashituka kuipata hii radio. Ni kipindi cha michezo cha saa tatu usiku. Ni around 90's Mhz. Wapenzi wa hii radio Iringa, wakati ni wenu.
Naomba kujua, hasa ktengo knachohusika na kurusha Tamthiliya hyo, wana mpango gani wa kuendelea kutuonyesha episodo zilizopta badala ya kuendelea na next episode! Its about 2weeks ova repeatng th...
House music, after enjoying significant underground and club-based success from the early 1980s onwards, emerged into the UK mainstream pop market in the mid to late 80s. Popularity quickly...
Hii nyimbo ni mahususi kwa vijana wezangu wa zamani,kiukweli tulifaidi enzi hizo
Nyimbo ni hii hapa
Niwewe mpenzi duniani ee, mwenye mwendo wa malingo na hatua za hesabu.
Nifanye nini duniani...
wakuu naomba msaada juu ya wimbo huu. Samahani nitauandika pengine ndivyo sivyo.
Unasema hivi hivi,
'wazazi, wazazi nakonda na mawazo yenu ya kila siku
mnanilazimisha kuolewa na mimi bado ni mdogo...
Wana jf
kherini ya kristmass na boxing day.
Nina shida kama kuna mtu mwenye link ya nyimbo flani hivi ya kwaito,kwa hapa bongo tunapenda kucheza kwa kujipanga pamoja,kwa kifupi sijui wimbo...
Here are the official results:
Winner Thailand - Kantapat PEERADACHAINARIN
1st runner up Fernando de Naronha - Jeanine DE CASTRO
2nd runner up Belarus Mariia OVECHKINA
3rd runner up ...
Hivi karibuni kumekuwa na mambo yanayonipa shida kidogo. Utakuta bendi ya muziki inatangaza kuwa itapiga shoo mahali fulani na shoo hiyo itakuwa mpaka majogoo (karibu na asubuhi). Cha kushangaza...
Habari wana JF,
Mara nyingi hua siwaelewi hawa ma dj au ma presenter wanaocheza miziki onair,chakushangaza miziki ya mtoni wanacheza clean version(ambapo watanzania wengi hatuelewi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.