Clouds tv: Tatizo la sauti (ktk king'amuzi cha Start Times)

MTOAHOJA

Member
Nov 28, 2011
37
3
Nimekuwa nikifatilia hii channel via startives taklibani miezi miwili sasa, hii cahnnel imekuwa ikiniboa sana kwa kukosekana kwa sauti,yani unaangalia picha tu kama unaangalia album, tunaomba uongozi wa clouds ukishrikiana na startimes mshughulikie tatizo hilo kwa tunakosa uhondo wa sportbar!ni hilo tu
 
Chukua remote control yako ya Star times..nenda kwenye track..kisha audio..chagua kati ya stereo n.k. Itakuja. Nami ilikuwa haitoi sauti nikafanya hivyo ikaja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom