Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nataka n download bongo flava AUDIO so naombeni LINK
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nilikuwa nikitokea kwenye harakati zangu binafsi nikirejea kwangu,muda niliokuwa napita Mbagala maeneo ya Dar Live ni muda ambao Helicopter iliyokuwa imemchukua Super Star wenu Diamond...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Kilichonifurahisha katika hii video ya Husein Machozi, ni kwamba, jamaa baada ya kutoka jela kwa msamaha wa Rais akiwa kitaa mwenyewe kavaa suspender zake suruwale kifuani, kamuona mshkaji kavaa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wapendwa, nipo Dar Live angalau kupunguza machungu ya ufisadi. Hapa mahali pazuri ila mambo yanaanza late. Tuliokuja na watoto wanakuwa hawana cha kufurahia. Wanahitaji kufanya marekebisho angalau...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wazee wa kaya hii naombeni mnipe link ya site ambayo naweza kupata song Lyrics za hapa nyumbani.,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
It's beautiful, your honesty You cry when you need to You say what you feel You're never afraid to wear you heart on your sleeve You're always so open with me It's in your voice, I can hear...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hey wana jf,nitaipata wapi hii filamu ya kikorea iliyokuwa inarushwa na ITV,mwenye info.please!!!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
https://www.dropbox.com/s/wlsqr1btg99puny/bata.wma mozambique
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu, ni muda sasa nimekuwa nikihitaji sana & nikitaka kujua ni aina gani ya kamera ambazo zikitumika kwenye utengenezaji wa filamu picha zitatoka bomba na angalau kuwa na ule ubora wa kimataifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale waliokuwa wanafuatilia bongo flave enzi inaanza kushika hatamu basi watakuwa wanamkumbuku huyu mwana dafada Pauline Zongo the first lady from upanga east cost. Kwa muda sasa alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
okay guyz naamini kama umeingia hii post wengi wenu mna experience na hip hop well cha kufanya itabidi utoe freestyle yenye vina vikali MTU ATAKAYESHINDA ATAPONGEZWA VOCHA 2000 KAMA UKITOKA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yapata wiki tatu sasa tangu msanii mwenzangu Steven Kanumba aage dunia, na kama ilivyo kwa kila kitu kinapotokea huandamana na kila aina ya maneno na hisia mbali mbali kutokana na mitazamo ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Napenda sana nyimbo za michael bolton na dolly parton na nimezidawnload tatizo sijui jinsi ya kufanya nipate nyimbo nzima kwa maandishi,,, nisaidieniiiiiiiii tafadhali
1 Reactions
6 Replies
2K Views
mwenyewe data nataka kushiriki miss jf
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Napenda sana aina hiyo ya nyimbo....naomba kutajiwa nyimbo na waimbaji wa nyimbo hizo
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Maneno Ya Mwisho Ya Kanumba Kwa Mama Yake Mzazi Pichani ni Mama Kanumba anayeitwa Flora Mtegoa Wakati Taifa la Tanzania likiwa katika majonzi mara baada ya kupoteza moja kati ya vijana wake...
1 Reactions
16 Replies
12K Views
Hii inatoka kwenye filamu ya Amri Kumi: Sephora: She was very beautiful, wasn't she? This woman of Egypt, who left her scar upon your heart. Moses: Her skin was white as curd, her eyes green as...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Nani kasema plastic suggery doesn't do miracles??? Can you recognize this girl? Yani nilipoambiwa nilibisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom