Oliver Ngoma na herufi nne katika nyimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oliver Ngoma na herufi nne katika nyimbo

Discussion in 'Entertainment' started by Mgoyangi, Jul 15, 2010.

 1. Mgoyangi

  Mgoyangi Senior Member

  #1
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimejaribu kufuatilia juu ya Oliver Ngoma naona kila jina la wimbo wake una herufi nne - Kama ADIA, BANE, SEVA - lakini naona ina herufi nne.

  Hii maana yake nini ama pengine alikuwa akifanya hivi kwa ajili ya nini? Mwenye ufahamu na uelewa zaidi kuhusu hili naomba atumwagie mezani.
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kila jina la wimbo wake? Nyimbo ngapi, maana hapo umeorodhesha TATU tu! Sawa, hata LILI na BANE lakini je AlPHONSINE? ICOLE? MAYUMBA, MUGETU GOLE, JULIE?
   
 3. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  haya!:pound:
   
 4. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Safi sanaaaaaaaaaaaa!
   
 5. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  R.I.P Oliver Ngoma! Napenda sana tune ya nyimbo zake japo maana ya nyimbo hizo sifahamu.
   
Loading...