CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
Habari wana jf!
Kuna baadhi ya nyimbo huwa nikizikumbuka basi huwa nazikumpuka sikukuu za zamani(xmas,new year,idd)
Hizi ni baadhi ya nyimbo zilizonigusa lakini siwakumbuki wamiliki wenye nyimbo hizi.
Nataka mtu anitengenezee nyimbo hizi na anipe bei.
1.Safari yetu London........
2.Bujumbula........
3.Isaya.......
4.Marashi ya pemba........
5.Mwisho wa mwezi.......
6.Amigo......
7.Kisebengo.......
8.Mpenzi luta.............
9.Rangi ya chungwa.......
10.Amka kumekucha........
11.Makumbele........
Na nyingine kwa anayezikumbuka...............