>*< The BEST of Michael Jackson >*<

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,080
Hellow wana JF...

Leo nipo Ki Music zaidi. Naamini Ingawa watu tuna taste tofauti in Music.... Lakini almost everybody knows Michael Jackson. He was a Legend... a legend alie kua ameanza safari yake ya Music toka yupo age 5. Ndio mwanamuziki ambae to date albam yake inashikilia taji la "The worlds largest selling Albam of all Time" via Thriller.... Ni wa Kwanza kuvunja Record ya kupokea 8 Grammy Awards in one nite... Ana nyimbo nyiingi na naamini kua hata kama sio kipenzi chako there is atleast one song you know and love. Naomba tu share....

Among my top 5 songs zake ambazo I love :

Dirty Diana
Liberian Girl
We are the World
Man in the Mirror
Billie Jean

Pamoja Saana.

AshaDii.
 
I cried when he died:redface:....utadhani alikuwa anajua kuna kinjemba kinaitwa JS huku Afrika watu wakawa wanashangaa nimepatwa tatizo gani.

MJ was and will always remain the best. To top up on the list: Beat it, Wanna be starting something, You rock my world, Bad, The Girl is mine.........shortly almost all the songs of his napenda.
 
Best of MJ: Little Suzie, Earth song, Billie Jean, remember the time...
@JS: I know what you mean... I felt the same when he died and I think the same of him today.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.

That is so sweet of you... Mimi nilikua nampenda lakini sio ile saaana! Ila kakangu aliumia na nakumbuka wakati wanatangaza hio breaking news CCN nilikua kazini usiku saa 8 or 9 hivi. I called him immediately... Aliumia hadi leo. Naona mlikua kundi moja. Hizo nyimbo hata mimi nazikubali... Katika ulizotaja more Beat it, ni moja ya my best.

Pole JS Kumpoteza Kipenzi... na ofcoz alijua kuna watu Africa wanampenda... hio ni wazi...
 
Sidhani kama Wacko Jacko alikuwa na Album ambayo haijabamba, huyu jamaa he have never boring me!!
51P5%2BDLm6SL._SL500_AA280_.jpg

  • Thanks
Reactions: 3D.
Best of MJ: Little Suzie, Earth song, Billie Jean, remember the time...
@JS: I know what you mean... I felt the same when he died and I think the same of him today.

Taz thank you... Nilisahau Earth Song... Jamani I feel that song ile mbaya. Ni nzuri saana.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Matola.... mimi napenda kama almost nusu ya nyimbo zake... Alafu Albam ya Bad ndio hua naona ndio mbaya kuliko zote. Nyimbo nilizopenda mle ni kama 4 naona. Ila I support you ni Great Musician.
 
Unajuwa Michael Jackson alikuwa anapiga bao kwenye video zake, hata ukicheck Thriller kama utaisikiliza tu kwenye audio unaweza ukasema ni nyimbo ya kawaida lakini ukiangalia video ndio utakoma mwenyewe, pili location za kufanyia video zake alikuwa anajuwa kuchaguwa na hata Live show zake zilikuwa siyo za kawaida.
Nakumbuka kama sikosei ilikuwa mwaka 1997 au 98 niliwahi kuhudhulia show yake Green Point Cape Town kwenye kwenye ziara yake ya History mambo aliyoyafanya pale sijawahi kuyaona tena kutoka kwa mwanamuziki mwingine mpaka leo hii.
 
Good thing ni kua I have watched videos karibu za music zake zoote.... Nafahamu karibu miziki yake yoote. Napenda musici hivo nasikiliza varieties.... hata kama mwana muziki simpendi sana hua nasikiliza nyimbo zake zote nijue ipi napenda na ipi niepuke and then mara nyingi na kusanya in a colletion nilotengeneza mwenyewe ya the Music I love (the beauty of burning....lol)

Alafu Matola uko juu.... Niko kukuonea wivu haswaaaa!! Hongera sana kuweza muona Live!
 
Yah uko sahihi ni vyema kuwasikiliza wanamuziki ili kuwajuwa uzuri wao na udhaifu wao, na kuhusu kuhudhuria show ya Michael hata mimi naona kama nilikuwa na bahati ya pekee maana Ticket zilishauzwa na kuisha siku nyingi kabla ya show ila Nilipata bahati Rafiki yangu mwingereza alipata dharura iliyomlazimu aende UK na hivyo Ticket yake ndio alinipa mimi, na kilichosababisha nikose ticket on time Waafrica wengi kwa kipindi kile tulikuwa hatuna utamaduni wa buy online na tukawa tunasubili ticket mpaka zianze kusambazwa kwenye masuper Market kumbe ndio ikala kwetu na ilikuwa ni kama kampeni fulani hivi ya wazungu wauziane ticket wenyewe. All in All hakuna kama Michael Jackson show yake sijawahi tena kuonakutoka kwa musician mwingine.
 
Mtu asipotaja nyimbo mbili nzito za Heal the World na Will you be there huwa simwelewi kabisa. Naona "makosa" yamejirudia katika thread hii. Actually sishabikii nyimbo hizi kwa sababu ya usikikaji wake mzuri (melody) pekee bali kila neno, mstari na mtiririko wa maneno katika mashairi. Napenda uimbaji katika Heal the world pale anaporudia chorus wimbo unapokaribia kuisha jinsi anvyopandisha sauti kwa kila ubeti unaorudiwa.... very beautifully. Lakini pia wimbo huu unafikirisha. Naweza kusema nau-rank kama wimbo wa pili katika nyimbo ninazozipenda kabisa.

Will you be there ending (Hivi nyie akina JS na AshaDii mvulana akiwaambia maneno haya mnatikisika kweli......?)

"................
In Our Darkest Hour
In My Deepest Despair
Will You Still Care?
Will You Be There?

In My Trials
And My Tribulations
Through Our Doubts
And Frustrations
In My Violence
In My Turbulence
Through My Fear
And My Confessions
In My Anguish And My Pain
Through My Joy And My Sorrow
In The Promise Of Another Tomorrow
I'll Never Let You Part
For You're Always In My Heart."

Labda watu fulani watapenda video hii:

Michael Jackson, the best entertainer ever lived.
 
Last edited by a moderator:
Hizi sio anga zangu. Ngoja nisepe hapa.Ila ukianza movie nitarudi kwani huwa napata kujua muvi gani nzuri.
Btw ulipotea sana.bila shaka ni shwari...
 
Mtu asipotaja nyimbo mbili nzito za Heal the World na Will you be there huwa simwelewi kabisa. Naona "makosa" yamejirudia katika thread hii. Actually sishabikii nyimbo hizi kwa sababu ya usikikaji wake mzuri (melody) pekee bali kila neno, mstari na mtiririko wa maneno katika mashairi. Napenda uimbaji katika Heal the world pale anaporudia chorus wimbo unapokaribia kuisha jinsi anvyopandisha sauti kwa kila ubeti unaorudiwa.... very beautifully. Lakini pia wimbo huu unafikirisha. Naweza kusema nau-rank kama wimbo wa pili katika nyimbo ninazozipenda kabisa.

Will you be there ending (Hivi nyie akina JS na AshaDii mvulana akiwaambia maneno haya mnatikisika kweli......?)

Michael Jackson, the best entertainer ever lived.

Ndio hapo unapoona kua kipenda roho.... Mimi naamini kua tokana na matakwa na mapenzi ya wengine, kuna wale waonao kuna nyimbo nzuri kuliko hizo ulizo chagua. Kama mimi hio "Heal the world" I like the song lakini sio sana kawaida. Where as huo wa will you be there.... Ndio ina lyrics nzuri but wimbo hua naona si mzuri saana. Naweza sema ule wimbo wa "earth Song" na "we are the world" ni bora kuliko ulizozitaja.... A belief I believe maybe vice versa to you.....lol

3D it has been long, hopefully you are well and good.
 
Labda watu fulani watapenda video hii:

Michael Jackson, the best entertainer ever lived.

Nakubaliana na wewe..... He was the Best!! Asante for the video.... Nice one sijawahi ona na imenifurahisha kweli.....lol
 
Last edited by a moderator:
Hizi sio anga zangu. Ngoja nisepe hapa.Ila ukianza movie nitarudi kwani huwa napata kujua muvi gani nzuri.
Btw ulipotea sana.bila shaka ni shwari...

Zion D nafurahi umepita hapa hata kama sio anga zako.... I like it when I see you..... Naamini ni mzima wa afya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom