Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,274
Watu
wanazidi kumiminika, japo mambo bado hayajaanza rasmi.
Kwa mlioko jirani karibuni leo wakali wa muziki wa injili wanauwa moto
uwanja mpya... Kwa mlio mbali tutawajuvya pamoja na picha.