steve nyerere kwny hili umechemka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

steve nyerere kwny hili umechemka

Discussion in 'Entertainment' started by kubane, Apr 7, 2012.

 1. k

  kubane Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakati anajitahidi kuelezea jinsi alivyosikitishwa na kifo cha the great K, akajikuta anasema... ''yani juzi tu tumekutana maisha club sisi tuko chini yy yuko juu anakunywa pombe na kucheza mziki wa twanga...'' mi nadhani angeweza kusema mengine ya maana ukizingatia alikuwa anasikika radion. wasanii wajifunze uchaguzi wa maneno hasahasa wanapotoa maoni yao ktk vyombo vya habari.
   
 2. assa von micky

  assa von micky Senior Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ndivyo anavyomkumbuka ,,,
   
 3. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hajakosea. Hisia zinapozidi unaongea chochote ulichounganishwa na umkumbukaye kwa mara ya mwisho, ziwe nzuri kwa masikio ya wengine au la, lakini ndio kupoa kwako.
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hajasema vibaya anasema mwisho walipokutana na marehemu,au ulitaka asemeje?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hajakosea mkuu,kunywa au kucheza kwa kanumba sio hajabu nyinyi ndio mtu akifa mnaanza kusema oh marehemu alikua mtu fresh sana wkt still una bifu nae la kufa mtu!
   
 6. JS

  JS JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hajakosea au angesema alikuwa anakunywa soda ndo ingekuwa bora zaidi?
   
 7. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  kusema kwake ukweli ndo imekuwa kosa?ulitaka aseme walikutana church wakat sivyo?
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  hajakosea kuongea ukweli!
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ukisema ukweli umekosea khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ulitaka adanganye waliutana msikiti/kanisani?
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kwa nini usingeweka comments zako kwenye thread ileile? sijaona sababu kabisa ya kufungua thread ya ujinga kama hii
   
 11. k

  kubane Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we kweli kituko! inamaana logic we hapo hujaiona?
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Akidanganya hivyo ili iweje?
   
 13. N

  Nsemwa Elly Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamna alilikosea coz yeye ameeleza what he saw, few dayz alipokutana naye..., sasa achague maneno ya kusema what does it mean kama siyo kumtaka Nyerere aseme uwongo? tubadilike na ifike mahali tuwae original kwenye midomo yetu.
   
 14. O

  Orche Senior Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haina maana yoyote, kuomboleza ni kuomboleza tu!
   
 15. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  tuambie ulitaka asemaje
   
 16. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  sioni kosa!kwani kunywa na kucheza hasa kwa kijana kama kanumba ni ajabu?
   
 17. m

  mikest Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  tatizo watanzania wanapenda kudanganya, na kutokusema ukweli! Je unafikiri lulu akiulizwa unamkumbuka je marehemu mara ya mwisho atajibu je?
   
 18. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Ulitaka kusikia nini toka kwa Steve Nyerere?
   
 19. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamani muacheni hapo ndipo mwisho wa upeo wake.
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Huyu alitaka amsifie marehemu kwa sifa za kijinga
   
Loading...