LULU auandikie kitabu uhusiano wake na KANUMBA

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Hatimae sasa bwana Steven Kanumba keshazikwa,hatunae tena duniani,tunamuombea kwa mungu amsamehe madhambi yake na pia tunamuombea mungu amfanyie wepesi siku hii ya leo kwa sababu inaelezwa na kuaminika siku ya kwanza kaburinini ni siku ngumu na nzito sana kwa marehemu.

Lakini kwa kuwa maisha ni lazima yaendelee sasa,nashauri haya yakitulia aliyekua mpenzi wa marehemu aandike kitabu kuelezea uhusiano wake wa kimapenzi na marehemu toka walivyokutana mpaka kuachana hii juzi,kitauza sana,na hii ni changamoto na business idea kwa wenye pesa na mngependa kuziiinvest pahala,kwa sasa pahala hot ni hapo.Na pia hii itakua fursa nzuri kwa wapenzi wa kanumba kuyajua maisha ya mpendwa wao nje ya filamu alikua ni mtu wa namna gani na pia kupitia kitabu hicho wataweza kuelewa kilichotokea siku ya mwisho ya kanumba toka asubuhi ya siku hiyo mpaka usiku umauti ulipomfika.Kwenye za wenzetu haya ni mambo ya kawaida sana,na sisi tuanzie hapa kwa LULU na KANUMBA kujifunza.

Nawasilisha
 
Wa kina mama Ambiriki, Mzee Jangara, Mzee Pwagu, mzee kipara mbona hatukuwafanyia haya au wakuwa na mchango wowote?

 
Wa kina mama Ambiriki, Mzee Jangara, Mzee Pwagu, mzee kipara mbona hatukuwafanyia haya au wakuwa na mchango wowote?


Kila mtu na bahati yake,ndio maana alivyozikwa kanumba na jinsi kifo chake kilivyotokea ni tofauti na hao wazee wake
 
hii ni akili ya kijasiriamali hii!!

Tatizo wabongo huwa hawasomagi, wanapenda hadithi....akisoma mama chausiku, anawahadithia akina mama wenzie wote wa mtaa wake!! Nao hawanunui wala kuazima kitabu, wanaridhika na hadithi
 
hii ni akili ya kijasiriamali hii!!

Tatizo wabongo huwa hawasomagi, wanapenda hadithi....akisoma mama chausiku, anawahadithia akina mama wenzie wote wa mtaa wake!! Nao hawanunui wala kuazima kitabu, wanaridhika na hadithi

umesema vizuri sana,but tunaweza kujibadilisha kuanzia hapa,mana huu msiba wa huyu kijana umewagusa wengi na bado wanashuku ya kumjua vizuri kanumba na kilichomsibu usiku wa kifo chake na pia uhusiano wake wa siri na lulu
 
Back
Top Bottom