Clouds TV, Nani kawauzia kamela Hizi kurusha Picha ?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Nilikuwa nikifuatilia kwa umakini kujua kuwa, hawa clouds Media wamepata wapi camera hizi za kurushia matangazo picha bila majibu. kwa ufupi kamela hizi ni hafifu sana na zinakosa mvuto kabisha kuonyesha vitu alisia na kuleta mvuto kwa watu, kama vile tunaovyoona ITV, Channel 10 na Star TV, rangi za picha ni mbaya kupita kiasi, sijui ni tatizo la mwongozaji au utalam wa kuchanganya rangi!!.

Pia nawaomba hawa vijana au watu wazima wa Clouds Team kuiga mifano ya TV nyingine zilizowatangulia jinsi ya kulipoti tukio yaani Live bila chenga kama ilivyo ya SAM Maela wa ITV au kama ilivyokuwa kwa J. Muro. Yaani jinsi ya kuuliza mashwali, jinsi ya kujipanga katika kutoa habari. OK bado wachanga ila changamka ili mwendane na mfumo ya DIGITAL kama inavyohainishwa na mkurugenzi wa Mawasiliano nchini.
 
Ingekuwa ni software ningekwambia mazee changamkia deal lakini kwa kuwa ni kamera wamekusikia. Watu wengi wamelalamikia hali hiyo ya ubora wa matangazo yao hasa live.
 
ka vile jana ndio ilikuwa mala yao ya kwanza ushiwalaumu, hizo ndizo kamela zao na ule ndio uulizaji wao wa maswali!.

Nb pia nimekapenda kajina kako kazuli!.
 
au amenunu za kichina , ambazo uonyehs avizuri wakati wa manunuzi na kuaribika baada ya miezi mitatu, sasa clouds TV hata mwaka haina
 
naona wakati wanarusha MUNGU labda anaingilia kati kuzipunguza nguvu, maana watu hawa wanatnguliza mafisadi mbele kwa mbele bila kujua kwamba media yoyote haiitaji ubaguzi, hata hivyo ndio mtambo halis wakuwanyonya vijana hasa wale wanoitwa underground wanapokuwa wanachomoza kuwa wasanii, maana mbila mkono wa nyuma, nyuzi zako au maendeleo yako hutayaona kamwe
 
ka vile jana ndio ilikuwa mala yao ya kwanza ushiwalaumu, hizo ndizo kamela zao na ule ndio uulizaji wao wa maswali!.

Nb pia nimekapenda kajina kako kazuli!.

Ni kweli hata mie shiwalaumu, hata kakamela kao kazuli ka mala ya kwanza shiwalaumu
 
Nilikuwa nikifuatilia kwa umakini kujua kuwa, hawa clouds Media wamepata wapi camera hizi za kurushia matangazo picha bila majibu. kwa ufupi kamela hizi ni hafifu sana na zinakosa mvuto kabisha kuonyesha vitu alisia na kuleta mvuto kwa watu, kama vile tunaovyoona ITV, Channel 10 na Star TV, rangi za picha ni mbaya kupita kiasi, sijui ni tatizo la mwongozaji au utalam wa kuchanganya rangi!!.

Pia nawaomba hawa vijana au watu wazima wa Clouds Team kuiga mifano ya TV nyingine zilizowatangulia jinsi ya kulipoti tukio yaani Live bila chenga kama ilivyo ya SAM Maela wa ITV au kama ilivyokuwa kwa J. Muro. Yaani jinsi ya kuuliza mashwali, jinsi ya kujipanga katika kutoa habari. OK bado wachanga ila changamka ili mwendane na mfumo ya DIGITAL kama inavyohainishwa na mkurugenzi wa Mawasiliano nchini.

Hata wewe unamatatizo kwenye kuripoti habari.!
 
ka vile jana ndio ilikuwa mala yao ya kwanza ushiwalaumu, hizo ndizo kamela zao na ule ndio uulizaji wao wa maswali!.

Afadhali hata hiyo ya jana, siku ya mechi ya Yanga na ile timu ya Egypt walionesha kwa kutumia Kamera ambazo sizitofautishi na kamera za simu ya mchina. Aibu kwa kweli, ni bora wangefanya partnership na wakongwe kama Star Tv ili waibe maujanja kuliko kujifanya wajanja wakati hawajui. Pia kosa lingine ni kuweka MC ambaye ni kichaa kama Lusinde...
 
Nilikuwa nikifuatilia kwa umakini kujua kuwa, hawa clouds Media wamepata wapi camera hizi za kurushia matangazo picha bila majibu. kwa ufupi kamela hizi ni hafifu sana na zinakosa mvuto kabisha kuonyesha vitu alisia na kuleta mvuto kwa watu, kama vile tunaovyoona ITV, Channel 10 na Star TV, rangi za picha ni mbaya kupita kiasi, sijui ni tatizo la mwongozaji au utalam wa kuchanganya rangi!!.

Pia nawaomba hawa vijana au watu wazima wa Clouds Team kuiga mifano ya TV nyingine zilizowatangulia jinsi ya kulipoti tukio yaani Live bila chenga kama ilivyo ya SAM Maela wa ITV au kama ilivyokuwa kwa J. Muro. Yaani jinsi ya kuuliza mashwali, jinsi ya kujipanga katika kutoa habari. OK bado wachanga ila changamka ili mwendane na mfumo ya DIGITAL kama inavyohainishwa na mkurugenzi wa Mawasiliano nchini.
Mkuu ndio matunda ya kuajiri form four failure na form six
 
Ni kweli hata mie shiwalaumu, hata kakamela kao kazuli ka mala ya kwanza shiwalaumu

thawa kabithaa thio vidhuri kuraumu raumu tuuuuuu, tena siku nyingine ujifunzage badala ya shiwalaumu andika thiwalaumu sawa? mthituharibie rugha bana!! araaaaa
 
Back
Top Bottom