Msaada kwa mlioko bongo movie

Msaada kwa mlioko bongo movie

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
habari za sasa wana JF.

Mimi ni kijana mwenzenu, nahitaji msaada kwa mlioko katika section za production katika tasnia ya filamu Tanzania, nahitaji kujifunza sana kuhusiana na filamu katika segments za directing, production, script writting na mengineyo mengi ambayo yanaifanya movie iwe kamili mpaka kuuzwa sokoni.

Wakuu sio kwamba sielewi kuwa kuna kwenda shule kusomea haya mambo, nafahamu wazi kabisa ila siko vizuri sana mfukoni, TV 1 walitoa nafasi za kujifunza, nilipofuatilia ada kwa kweli sikurudi tena huko. Ilikuwa pesa ndefu sana kwangu.

Wakuu naomba kwa mlioko Dar nifanye kazi na ninyi ili niweze kupata mwangaza. Uwezo wa kwenda kusomea haya mambo sina kwa sasa ..
 
Back
Top Bottom