Naomba Kujua Alieimba Wimbo Wa Taarabu "Aaasuu Niurumuie Asu Wangu"

Singa Singa

Member
Dec 12, 2014
47
46
Nakumbuka Miaka ya Mwishoni Mwishoni mwa 90 na Mwanzoni Mwa 2000 kuna mzee mmoja alikuwa ana bamba sana na kibao hiko aliku Mwembamba Mweusi na nimrefu kile kibao nimekitafuta iatandaoni lakini nimekikosa anayekijua au jina la msanii alie imba......Anitumia hapa..."Aaaaaasu niyale maubile yako yana........Niurumie Asu wangu"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom