Ufisadi pambano la Msondo na Sikinde

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
10,394
16,040
Niko hapa tcc club kwenye pambano, kinachofanyila getini Ni wizi WA mchana. Watu wengi wanalipa na hawapewi tickets, sisi ambao tumekuja kuzisaidia hizi bendi kongwe, nimekatishwa tamaa siji tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom