leo nimewasikiliza ni moto wa kuotea mbali!!utadhani umefungua clouds power breakfast..Radio hii sio siri itachana mawimbi ujio wa hando na pj unaongeza nguvu kipind chao cha joto la asubuhi nakumbuka walivyokuwa wanasoma vuzur magazet na kudadisi yafaa sasa na magazet yawepo hapo wanasoma na kudadis vizur.
leo nimewasikiliza ni moto wa kuotea mbali!!utadhani umefungua clouds power breakfast..
Wanatafuta tenda haoClouds wanaudhi yani eti leo wako wanamhoji Sijui Mama Salma Kikwete. Redio zao zote ziko live na li TV Lao hata hakuna cha maana ni upuuzi tu. Wanatumia nafasi yao kuzidi kujiporomoa tu. Wamebakiwa na XXL na Amplifaya tu na XXL Planet Bongo inawajia vibaya sana
Kitendo cha wao kuwa kwenye frequency above 90MHZ kwenye FM kinawakosesha wasikilizaji wengi sana.... Magari mengi frequency ni below 90Radio hii sio siri itachana mawimbi ujio wa hando na pj unaongeza nguvu kipind chao cha joto la asubuhi nakumbuka walivyokuwa wanasoma vuzur magazet na kudadisi yafaa sasa na magazet yawepo hapo wanasoma na kudadis vizur.
Kweli mkuu efm wanakuja poa sna .Katika biashara yeyote ile, usipende kupoteza kabisa Mteja hata mmoja! Ni Bora uingie gharama kumsikiliza na kumpatia mahitaji mteja wako kuliko kumpoteza, Kwa sababu Mteja mmoja ni Balozi Mzuri sana wa kuleta wateja 100.
Sasa wale jamaa walionesha hawajali, sasa EFM inapasua Mawimbi vibaya. Kuna uwezekano mkubwa wa kuyumba kwa Business ya jamaa, EFM inakuja vizuri.
Ukija kwenye vibwagizo vya Mkude ndio noma zaidi, yani ukiwa umeboreka, umekasirika au out of mood we fungulia tu E.fm halafu umkute Mkude na misemo yake utacheka tu.. Hichi ndio kitu kingine kinachowavutia watu wengi zaidi kuisikiliza hii radioKweli mkuu efm wanakuja poa sna .