Joto la Asubuhi vs Power breakfast

Kim Jo Ngil

Member
Jan 3, 2014
45
17
Jumatatu ya tarehe 2 May ndio utambulisho rasmi wa magwiji wa vipindi vya asubuhi redioni Gerrard Hando aka Mzee Mkuda na Paul James aka PJ wakiwa ndani ya kituo kipya cha E.FM 93.7

Unadhani kati ya kipindi cha Joto la Asubuhi cha E.FM na Power Breakfast cha clouds FM kipindi kipi kupata wasikilizaji zaidi?
 
Nilikuwa sifahamu sasa ntajiunga rasmi kuskiza hicho kipindi,
Hando na PJ wako vizuri na watapata wasikizaji wengi zaidi kadri muda utavyozidi kwenda
 
Jumatatu ya tarehe 2 May ndio utambulisho rasmi wa magwiji wa vipindi vya asubuhi redioni Gerrard Hando aka Mzee Mkuda na Paul James aka PJ wakiwa ndani ya kituo kipya cha E.FM 93.7

Unadhani kati ya kipindi cha Joto la Asubuhi cha E.FM na Power Breakfast cha clouds FM kipindi kipi kupata wasikilizaji zaidi?
Joto la asubuhi
 
obvious power breakfast itapata wasikilizaji wengi coz clouds fm ina coverage kubwa ukilinganisha na efm ambayo inasikika Dar tu
 
Sikiliza kipindi cha Capital Radio asubuhi ndipo utajua kwamba kuna watangazaji mahiri na watangazaji majina.

E-FM na Clouds FM hawana lolote! Ni shida tu hapo!
 
obvious power breakfast itapata wasikilizaji wengi coz clouds fm ina coverage kubwa ukilinganisha na efm ambayo inasikika Dar tu

Siku izi wanaosikilizia radio wakiwa majumbani ni wazee tu,wengi wetu tunatumia simu,smartphone na teknolojia imeturahishia mambo yaaan hata radio ikiwa ina coverage ya mbagala tuu ila dunia nzima tutaisikiliza online..kitu cha tunein radio mkuu.
 
mkuu hata ukibisha vipi lakini ukweli utabaki tu pale pale, sijakataa hayo unayosema lakini asilimia kubwa ya watanzania bado wasikiliza redio hao wa smart sio wengi ukilinganisha na watanzania wengi wanaotumia redio za kawaida
 
Jumatatu ya tarehe 2 May ndio utambulisho rasmi wa magwiji wa vipindi vya asubuhi redioni Gerrard Hando aka Mzee Mkuda na Paul James aka PJ wakiwa ndani ya kituo kipya cha E.FM 93.7

Unadhani kati ya kipindi cha Joto la Asubuhi cha E.FM na Power Breakfast cha clouds FM kipindi kipi kupata wasikilizaji zaidi?

Joto la asubuhi ( E fm ) ni sawa na nchi ya South Sudan na Power Breakfast ( Clouds fm ) ni sawa na nchi ya United States of America. Tafakari zaidi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom