Dah wimbo wa Papa Wemba na Kofi wake up bonge la Songi

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,791
32,638
Ebwana wanaJF Mzuka!

Sikufaham kabisa huu wimbo wa Wake up Papa Wemba fet Kofi Olomide. Nimeusikiza Leo mara nying Youtube. Ni wimbo mzur sana. Cha kushangaza hauna promo hata viewers na likes Ni wachache sana. Ni kat ya nyimbo nzur Africa.

Everybody wake up Tabulay wake up...
Huyo Ni kofi

Sasa panaponipendeza ni Papawemba anapotoririka kwa kuimba baadh ya nch na mij ya Afrika.. Wake up tabasa wowohoo Kinchasa wake up libreville brazaville Kigali na Bunjumbura Africa Aquaba Madagascar Senegal South Africa Wekoop (wake up). Zimbabwe Namibia Lusaka Gaborone Ludena Bamako Angola Bondia Bana na Cameroon.

Dah Papa Wemba R.I.P

 
Msaada hapo nilipo BOLD. Je hizo ni nch gan Afrika? Mfano anaposema Africa Aquaba Tabasa ludena bana.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom