MT255 JF-Expert Member May 3, 2012 3,596 4,890 May 1, 2016 #1 Ulikuwa wapi enzi zao na ulikuwa na miaka mingapi?....
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,403 12,765 May 1, 2016 #2 Kuna ambao kiungwana kabisa inabidi waseme ''nilikuwa tumboni kwa mama,nikiwa na miaka sifuri''
mng'ato JF-Expert Member Oct 27, 2014 29,200 49,066 May 1, 2016 #3 Hahah Carlos, cyborg, bolo young. Huyo mwingine hakua maarufu Sana kwny vibanda umiza vyetu ila namsoma. Kijenge moja hio kipindi hicho
Hahah Carlos, cyborg, bolo young. Huyo mwingine hakua maarufu Sana kwny vibanda umiza vyetu ila namsoma. Kijenge moja hio kipindi hicho
mwanaume suruali Member Jan 26, 2016 40 42 May 1, 2016 #4 Billy drago noma sana,nlikua cjazaliwa,,but nliziona hzo movie miaka ya 1999,2002
S St Lunatics JF-Expert Member Aug 29, 2015 6,644 11,167 May 1, 2016 #6 Enzi hizo dingi akinionea wivu kinomaa. nilikuwa mimi tu nanyonya ziwa la mama yeye akija namchapa kibao halafu namwambia nana tata mimi
Enzi hizo dingi akinionea wivu kinomaa. nilikuwa mimi tu nanyonya ziwa la mama yeye akija namchapa kibao halafu namwambia nana tata mimi
Baba Joseph17 JF-Expert Member Jul 15, 2013 9,518 9,746 May 1, 2016 #10 Horseshoe Arch said: Kuna ambao kiungwana kabisa inabidi waseme ''nilikuwa tumboni kwa mama,nikiwa na miaka sifuri'' Click to expand... Wengine hata kufikiriws kuwa mamazao watabeba mimba ilikuwa bado na yumkini mama na babs zao walikuwa bado wanasoma shule ya msingi
Horseshoe Arch said: Kuna ambao kiungwana kabisa inabidi waseme ''nilikuwa tumboni kwa mama,nikiwa na miaka sifuri'' Click to expand... Wengine hata kufikiriws kuwa mamazao watabeba mimba ilikuwa bado na yumkini mama na babs zao walikuwa bado wanasoma shule ya msingi