Clouds Media group wametoka mbaaali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds Media group wametoka mbaaali

Discussion in 'Entertainment' started by Lucchese DeCavalcante, Jun 17, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,465
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  JOSEPH KUSSAGA(kushoto) na RUGE MUTAHABA (kulia) (wadogooo) wakiwa na DJ MIND MOTION (katikati) wakati huo alikuwa ni NUMBER ONE DJ wa SAN FRANSISCO, hapo ilikuwa ni MAREKANI mwaka 1998.

  [​IMG]

  Kila kwenye mafanikio kuna mwanzo wake.. Focus is everything in life.. hapo bosi wa CLOUDS JOSEPH KUSSAGA akiwa mitamboni.. ulikuwa kama ni mwanzo tu wa safari ambao ndio umesababisha CLOUDS unayoiskia sasahivi.

  [​IMG]

  Kutoka kushoto JOSEPH KUSSAGA (mwenye shati la blue), BONNY LUV, wadada wawili ambao majina yao sikufanikiwa kuyapata, RUGE MUTAHABA mwenye shati ya brown na kwa huko juu kutoka kushoto ni DAUDI LEMBUYA na OTHMAN NJAIDI.

  [​IMG]

  Vichwa vilivyoifanya Clouds ifike hapa ilipo.. RUGE MUTAHABA(katikati) na JOSEPH KUSSAGA (kulia).. wakiwa na Dj Mind Motion the number ONE Dj wa enzi hizo huko San fransisco.


  Penye nia pana njia... Kutoka Disco la kawaida mpaka kumiliki Radio ambayo ni TALK OF THE TOWN and THE HOTTEST RADIO STATION in Tanzania CLOUDS FM, CLOUDS TV, CHOICE FM, COCONUT FM -Zanzibar, PRIME TIME PROMOTIONS pamoja na kutoa MCHANGO mkubwa sana kwenye Entertainment industry ya Tanzania na mafanikio mengine mengi.

  HOngera zenu wazee wa mujini
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Safi ila nao waache uizi ni wezi sana wa kazi za wasanii maelezo zaidi uliza underground yeyote au mr Sugu ana habari zao, au sikiliza CD ambazo zinasamabazwa mtaani hivi sasa zinazoelezea machafu yao. Ni opportunist kupita maelezo [​IMG][​IMG]
   
 3. E

  Edo JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hongera kwao, nadhani tuna kitu cha kujifunza, kama kuna mahali wanakosea, tuwakumbushe wajirekebishe !
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,465
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yeah wajaribu kuimprove improve...
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hawa bangi tupu
   
 6. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,465
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hebu fafanua mkuu sijakusoma
   
 7. gimmy's

  gimmy's JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2016
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 2,319
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Kati ya ruge na joseph kusaga ni nani mmiliki wa clouds media group
   
 8. G

  Guasa Amboni JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2016
  Joined: Aug 13, 2015
  Messages: 6,302
  Likes Received: 5,986
  Trophy Points: 280
  Duh!enzi za othman njaidi(oj)longtime kitambo.
   
 9. G

  Guasa Amboni JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2016
  Joined: Aug 13, 2015
  Messages: 6,302
  Likes Received: 5,986
  Trophy Points: 280
  Thomas luchese(three fingers brown)huyo mtu alikuwa hatari sana.
   
Loading...