Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

SEHEMU YA KUMI NA MOJA THE GIRLS IN ISLAND 12 Wakati tupo ufukweni nikimsubiria Shenaiza afanye maajabu yake ili tuondoke pale, nyuma yetu tulisikia mtu akipiga makofi. Tulipogeuka nyuma...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Udaku News Picha za mapokezi za Mshindi wa Tuzo ya AMVCA2016 kipengele cha Movie bora ya Afrika Mashariki elizabeth michael ‘Lulu’ wakati akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
THE GIRLS IN ISLAND-11 “kuhusu swala la kutoroka na kuwaacha wenzangu huku ni swala gumu sana Shenaiza.” Niliongea huku nikiwaonea huruma wale marafiki zangu tuliowaacha. “acha mawazo hasi...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Masaa machache yaliopita Wasanii nguli wa kenya maarufu kwa jina la Sautsol Wametoa Filamu yao mpya waliomshirikisha msanii nguli wa Tanzania Alikiba #kingkiba . . . Filamu hiyo iliyoachiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SEHEMU YA TISA THE GIRLS IN ISLAND 09 Alipomaliza kuoga, alitoka na kunichekea baada tu ya kuniona. “wewe ni mwanaume wa shoka.” Aliongea malikia na kunilalia kifuani. “sasa naweza...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Nilimsikia Ruge akihojiwa na Salama kwenye mkasi, akasema kuna kituo kimija cha redio hakipigi nyimbo za msanii fulani kwa miaka miwili sasa!! Baadae nikaanza kusikia minong'ono mitaani na...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
SEHEMU YA NANE THE GIRLS IN ISLAND 08 Baada ya hapo nikapelekwa jela ambapo nilibaki nimeduwaa baada ya kuona jela kubwa kama hiyo iliyokuwa na watu zaidi ya milioni mbili kwa hesabu za haraka...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
kama umesha-download au unayo UTORRENT (software inayokuwezesha kudownload movies,games na n.k) tumia site hii ambayo utaweza kudownload movie zako kupitia UTORRENT. ni site nzuri sana hiyo apo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeipenda sana hii tamthiliya ya Siri ya Mtungi. Kwanza ina reflect uhalisia kuanzia jina la tamthiliya, uigizaji, mazingira, lugha mpaka majina ya characters. Majina kama vile Cheche, Mtungi...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Ni moja ya ngoma ambayo mpaka leo inaishi wakati imetoka miaka kama kumi iv imepita....ukiisikiza haiishi utamu daah apa fa aliumiza kichwa pembeni na komando jide... Namisi sana aina ya miziki...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Kuna kiwanja kimoja pale jirani na Mlimani city cha kuitwa KATALUNYA!! ni nani founder wake!? nataka kumpa pongezi tu kwa ubunifu na ukisasa kiasi chake kwa biashara hii ya vileo kulinganisha na...
5 Reactions
78 Replies
9K Views
Zangu hizi hapa. 1.24hour. 2.The seeker. 3.Robin hood. 4.Smillvile. hizi series unaweza kuangalia na familia. muv.1 Avatar. 2.Blood Diamond. nipe za kwako...
0 Reactions
295 Replies
34K Views
SEHEMU YA SABA THE GIRLS IN ISLAND 07 “BAINA NA KELI” Ilisikika sauti kutoka nje ya lile bwawa. Nikashangaa kuona wale wasichana wakiniachilia haraka na kusimama kikakamavu. Nilipotupa...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
SEHEMU YA TANO THE GIRLS IN ISLAND 05 “swali zuri sana,… ninapoongelea wanawake ni tofauti sana na wanawake hawa wa duniani. Kwanza hamshangai kuwa wanaishi jinsia moja katika hicho kisiwa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu,kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba mdau yeyote mweye wimbo uitwao Julie wa Bob Rudala aniweke hapa sababu nautafuta sana.
0 Reactions
14 Replies
9K Views
SEHEMU YA SITA THE GIRLS IN ISLAND 06 Baada ya mwendo mrefu, tuliona mwisho wa msitu huo na mbele yake kulikua na majani mafupi kama yaliyolimwa. Tukakazana mpaka tukafika eneo hilo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wazee na wanaJamvi, Leo,katika collection zangu za bongo fleva nimekutana na mkongwe ambaye sasa ameshatangulia mbele za haki,Complex.Kwakweli,jamaa aliwahi mapema sana wakati ndio alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SEHEMU YA NNE THE GIRLS IN ISLAND 04 Ndani ya mwezi mmoja tu, ulitosha kabisa kumpa umaarufu Mac Donald kutokana na utajiri aliokuwa nao na kuvumbua madini ya aina mbali mbali ambayo...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba kwaanayeijua lyrics ya Mrisho Mpoto 'Nikipata nauli' aitupie hapa au kama mpoto mwenyewe yupo humu naomba anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wakuu, Najua mtamkumbuka huyu kijana wa Kibongo flavor ambaye mwanzoni pindi anaanza mziki alifananishwa na Marlaw wa bembeleza, baada ya kutoa hits kibao kama Natumaini, Narudi Kazini n.k...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom