kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,069
- 4,896
Nimebatika kuona video ya huyu Snura Mushi ya wimbo unaitwa Chura. Kusema kweli hajatundea haki huu wimbo kabisa yaani kwanza wametumia location mmoja ya beach.
Okey, location sio ishu ila wale wadada pia wanaocheza hii video wanacheza style mmoja tu hadi livideo linaisha.
Mbona instagram tunaonaga style nyingi hata sehemu ya kibob Marley imepooza hamjatundea haki kabisa.
Snura umezegua sana hii video labda tungojee hiyo part two, tunahitaji ubunifu wa hali ya juu kama ule uliofanya hadi Don Jazzy adate na kupost kipande cha video kwenye instagram page yake yaani yale mambo fulani hivi.