Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimeamua kupumzisha moyo wangu Maana siku nyingi unateseka juu yangu Kutwa kupelekwa puta na akili yangu Eti kisa kuridhisha mwili wangu aaah Acha nikajaribu na kwingine Sio fungu langu pengine...
3 Reactions
33 Replies
14K Views
Nimeangalia sahizi video iliyo postiwa Instagram na Diamond platnumz wakionesha wanacheza wimbo mmoja hivi na sauti ya Diamond ndo Inasikika ni kama sebene! Kinacho nitatiza huu ni wimbo wa nani...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
nilianza kuangalia movie za Godfather muda mrefu sana,Kuna ndungu yangu alikua anaangalia kipindi kicho mimi mdogo sana sikuwahi kuzielewa na lugha ndio ilikua haipandi na kipindi hicho movie kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo katika pita pita nimekutana na huu mziki wa Aslay -kidawa...!!! mwaka ulitaka kwisha bila kusikia hili song jamani ningejilaumu... mbona mziki mzuri Sana. Aslay - Kidawa.mp3
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Jana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne...
7 Reactions
99 Replies
9K Views
Mr blue - tabasamu Wakali kwanza - Natamani Jafarai -niko busy Ngwair-she got gwan Hizo zili hit miaka flan Ila kwenye Playlist ZANGU huzikosi na ni kama mpya kila leo Tupia na za kwako nne...
1 Reactions
65 Replies
18K Views
Nakumbua mwanzo mwa miaka ya elfu mbili mziki wa bongo fleva ulishika kasi sana,ulikua kama tunavyoichukulia singeli saizi Vijana wengi walifungua studio na wengi waliingia katika tasnia ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I'm curious what the name of the piece is starting at 0:36 on this video Relax: zedge ringtones, starboy ringtone, black beatles ringtone . Good fun!
0 Reactions
0 Replies
574 Views
-Maoni Nini kiwepo kipi kisiwepo -Ushauri na mengineyo mengi kwa colabo hii mpya kabisa Brand New!!!
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Ninaishi Dsm ni miaka Mingi sasa nanunua CD lkn mwaka Jana nimeshuhudia watu wakinunua flam ya udaan maarufu Chakoli Nashauri waigizaji wa bongo waangalie wasituigizie vituo vyao... sijui anti...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Darasa sio yule tena wa 'sikati tamaa' Siku hizi yupo kikazi zaidi. Kila kukicha anazidi kuwa mkali. Ngoma yake hii ya sasa inayoitwa 'MUZIKI' aliyomshirikisha Ben Pol ni kalii...
35 Reactions
695 Replies
94K Views
Natafuta jina au mwenye wimbo wenye hizi lyrics utakuwa wa 2005 kurudi nyuma Najutia najutia najutia mimi najutia Sijui nini wazazi wangu watajivunia Najutia Ndani ya shimo nimetumbukia Sioni...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kwa kweli leo nimekaa nikaamua nisikilize ngoma za kipindi icho daah ukiacha na ushabiki kwa mademu wanaoimba siku izi hakuna ata mmoja anaeweza akashika namba kwa huyu mdada Maunda Zorro...
7 Reactions
107 Replies
19K Views
Kweli YANGA ndio inauza magazeti ya Tanzania,ukiiandika vibaya huuzi gazeti siku hiyo,naona leo Wahariri wote wameipa uzito mdogo hii habari ya kufungwa YANGA.Basi sawa YANGA.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tukiongelea wakali watatu wa chorus hapa bongo basi huwezi acha kumtaja Q chief.. Mimi kwangu top 10 ya chorus alizofanya ni kama ifuatavyo!! 1. Kazi ipo-Wanaume TMK 2. Sintobadilika-Mike T 3...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wengi, weusi kwa weupe walipigana dhidi ya ubaguzi wa rangi Afrika kusini! Kama leo tunavyopaswa watanzania kupigana dhidi ya dharau na dhihaka za kiongozi wetu kwetu! Moja kati ya nyimbo za...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Wadau habari za weekend, Nahitaji kufahamu jina la wimbo wenye mistari hii. Machozi yangu yanibubujika.Wewe umekwenda ni kama wa msiba hivi.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
BEN PAUL: Bernad Paul ndilo jina alilopewa na wazazi wake. Huyu ni mwanamuziki mkali wa Bongo Fleva na nyimbo nyingi anazoimba na uimbaji wake ni mzuri lakini imekuwa ni vigumu kutoboa kimataifa...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom