Moyo sukuma damu

Dinazarde

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
39,782
2,000
Nimeamua kupumzisha moyo wangu
Maana siku nyingi unateseka juu yangu
Kutwa kupelekwa puta na akili yangu
Eti kisa kuridhisha mwili wangu aaah
Acha nikajaribu na kwingine
Sio fungu langu pengine

Moyo sukuma damu si vingine
Mwili usije zusha na vingine
Kuanza kuparama na mengine
Moyo sukuma damu si vingine

Khaaa

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaa aaaeeh aaeee
Moyo Sukuma damu si vingine
aaah aaaeeh aaaeee
usichanganye na mengine
Aaaaah aaaah

Kwenye mapenzi yalonifika sio siri yangu
Maana wengi mliona hali yangu
Kitambaa kiliyachoka machozi yangu
Tabu niliyoipata si stahili yangu
Aha haaa
Sasa mimi ni mtu mwenginee
Nilie funza na mengi eeh
Moyo sukuma damu si vinginee
Tenaa, usidanganywe na mwili eeh
Umeumbwa kutamani mengi eeh
Usije nikumbusha ya kule eeh khee

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaa aaaeeh aaeee
Moyo Sukuma damu si vingine
aaah aaaeeh aaaeee
usichanganye na mengine

Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Danganya danganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Eeeeeeiiiiiih

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaaeeh aaaeeh aah
Moyo Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaah
Usichanganye na mengine
Aaaaeeh aaaeeh aaaah

Mo mo moyo
Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaah
Moyoo , moyo
Aaah menginee
Mo mo moyo
Sukuma damu si vingine
Moyo moyo
Sukuma damu si vingine
 

Sakayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
56,426
2,000
We ndo unalijua hilo leo mamy, na ndo maana moyo ulichoka kusukuma damu na kumuhifadhi mtu mzima ni kazi mbili ngumu sana
 

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
194,597
2,000
Moyo sukuma damu kupenda kiherehere tu. Utatuua moyo vyumba vyenyewe vena na auriko havitoshi moyo.
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Nimeamua kupumzisha moyo wangu
Maana siku nyingi unateseka juu yangu
Kutwa kupelekwa puta na akili yangu
Eti kisa kuridhisha mwili wangu aaah
Acha nikajaribu na kwingine
Sio fungu langu pengine

Moyo sukuma damu si vingine
Mwili usije zusha na vingine
Kuanza kuparama na mengine
Moyo sukuma damu si vingine

Khaaa

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaa aaaeeh aaeee
Moyo Sukuma damu si vingine
aaah aaaeeh aaaeee
usichanganye na mengine
Aaaaah aaaah

Kwenye mapenzi yalonifika sio siri yangu
Maana wengi mliona hali yangu
Kitambaa kiliyachoka machozi yangu
Tabu niliyoipata si stahili yangu
Aha haaa
Sasa mimi ni mtu mwenginee
Nilie funza na mengi eeh
Moyo sukuma damu si vinginee
Tenaa, usidanganywe na mwili eeh
Umeumbwa kutamani mengi eeh
Usije nikumbusha ya kule eeh khee

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaa aaaeeh aaeee
Moyo Sukuma damu si vingine
aaah aaaeeh aaaeee
usichanganye na mengine

Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Danganya danganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Eeeeeeiiiiiih

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaaeeh aaaeeh aah
Moyo Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaah
Usichanganye na mengine
Aaaaeeh aaaeeh aaaah

Mo mo moyo
Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaah
Moyoo , moyo
Aaah menginee
Mo mo moyo
Sukuma damu si vingine
Moyo moyo
Sukuma damu si vingine


Sayansi umefika kwetu Waswahili, hapo sasa!
 

jje's

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
10,333
2,000
Nimeona wimbo alioimba hauendani na maneno anayosema kwamba ana wengi, sasa nikamuuliza ana plann za kuongeza? Jus like Hajakoma kuumizwa
Are you sure bae, sitaki kukupoteza ujue
 

Dinazarde

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
39,782
2,000
I know huo wimbo naujua vizuri tu ni wa Lameck Ditto, sasa hapo uliposema unao wengi na unampango wa kuongeza.... Btw unajua huyo aloniuliza swali hilo ni naniliu
Nimeona nijibu tu nami kwani we unajua mahusiano yangu ?
Sijui huyo ni nani yako hujawah nitambulishaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom