Kwa kweli leo nimekaa nikaamua nisikilize ngoma za kipindi icho daah ukiacha na ushabiki kwa mademu wanaoimba siku izi hakuna ata mmoja anaeweza akashika namba kwa huyu mdada Maunda Zorro.....
Maunda kakamilika kila idara, sauti hata tungo zake zinavutia sana. Sijui kipi kilimsibu akaacha mziki.....
Jamani Maunda Zorro rudi tumemisi sana sauti yako..