Diamond huu ni wimbo wako mpya?

Diamond huu ni wimbo wako mpya?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,683
Nimeangalia sahizi video iliyo postiwa Instagram na Diamond platnumz wakionesha wanacheza wimbo mmoja hivi na sauti ya Diamond ndo Inasikika ni kama sebene! Kinacho nitatiza huu ni wimbo wa nani?

KAMA ni wimbo wa Diamond basi shikamoo Diamond mwenye kuweza kuweka video hapa aweke
Screenshot_2017-01-11-02-06-44.png
 
Duuu imenibidi nipite fasta insta huyu jamaa wamuache tu bonge la ngoma mmhh hatar hatar
 
Hatari sana Braza Chibu kama ni wake kweli autoe hata kesho
 
Nimeangalia sahizi video iliyo postiwa Instagram na Diamond platnumz wakionesha wanacheza wimbo mmoja hivi na sauti ya Diamond ndo Inasikika ni kama sebene! Kinacho nitatiza huu ni wimbo wa nani?

KAMA ni wimbo wa Diamond basi shikamoo Diamond mwenye kuweza kuweka video hapa awekeView attachment 457810
Mbona haifunguki Hiyo nyimbo
 
Nadhani hiyo itakuwa ni remix ya wimbo wa lumino ambao original amemshirikisha mohombi unaitwa rockonolo
 
ile ni Kama msaga sumuanavonogeshaga....
vinogesho tu... vya kufanyia mazoezi na wanaviwekaga katikati ya pafomance
 
Umemuuliza Diamond?!

Sijui kama yumo humu ila kuwa mvumilivu kama yumo atakuja kukujibu.
 
Back
Top Bottom