Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

DuniA tunapita eeh[emoji445] Kitakachobaki MILELE ni milima [emoji445] [emoji445] [emoji445] Hio ni baadhi ya Mistari Yake. Msanii huyu WA zamani anaitwa Nani? Na Sasa yuko wapi?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ebale ya Zaire -Ulitungwa na SIMARO MASIYA LUTUMBA Ukaimbwa na SAM MANGWANA. ni wimbo ambao jamaa anasikika kama akilalamika sana. najaribu tu kuimagine jamaa analamika ila sijui analalamikia...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Naomba mwenye link za ku download seaon 2 na 3 series ya IRIS tafadhali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimevutiwa sana ni video yako Mpya ya "umewazidi wote" ni video yenye ujumbe, nakupa hongerah Kwa kuigharamia ; mmependeza sana mlivocheza na huyo video king!
4 Reactions
11 Replies
5K Views
Kuna kiipindi wakati sijawa mjanja wa kucheki movies, nilionaga CD INA movie mchanganyiko za wadudu wote na ndege wameekiti movie. Kama vile mende, nyuki, kungulu. Kila mmoja ka ect Picha lake...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sijui ni masikio yangu au ni vipi,nyimbo hii imepata umaarufu mkubwa ghafla na kumfanya msanii huyu awe chart ya juu,nimejiuizavkipi kilichoifanya nyimbo hii kua hot hasa kuanzia wiki mbili za...
8 Reactions
114 Replies
16K Views
Alieniumba alinipa mdomo hovyo nina haki ya kuongea/ ni bahati nimeotea..safi… Kamwe siachi kuishea/ hamtaki niwe fair…? Trust me.. Me huwa happy niki-care/ na ninaowatouch husema” mshkaji upo...
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Tukubali hawa ni tatizoooooo cha ajabu wote wakianzia life uswahilini
0 Reactions
3 Replies
547 Views
Kwa wale wasikilizaji wa radio Naomba msaada wenu kati YA clouds FM na magic FM ipi ilianza kurusha matangazo yake?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari. Naomba kuuliza kulikua na hizo talk shows miaka kama miwili iliyopita, siku hizi sizioni, zimeishia wapi? Au nani anaweza kujua hizo shows ziko chaneli gani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Good morning beautiful How was your night Mine was wonderful With you by my side And when I open my eyes And see your sweet face It's a good morning beautiful day I couldn't see the light I...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tz Hotels
0 Reactions
1 Replies
691 Views
KAMA HUKUJA KUWINDA Tumeshafika nyikani,rungu huku sime kule, Na mikuki mabegani,mbwa huku na kule, Hatutorudi nyumbani,bado tunasonga mbele, Kama hukuja kuwinda, usingekuja nyikani. Ungebakia...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
KWAKO MWANANGU MPENZI Naandika kwa furaha,furaha ya kuwa nawe, Nataka upate raha,usilie juu ya mawe, Upendo na uwe silaha,pendo lako uligawe, Kwako mwanangu mpenzi,dunia mahali pema. Usiyashike...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
naomba kujua kila ninapokaa na wazee na kuongea nao au wakiwa wanamzungumzia mtu kuna hiki kitu huwa wanauliza HIVI AMEOA KABILA GANI??? hili swali inawezekana lina umuhimu kwa upande...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Aisee wabongo tuna vipaji vingi sana
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani nimejukuta sina pa kwenda leo wala kampani... sasa naomba mwenye kujua muvi au sirizi kali ya kichawi mithili ya merlin au regend of the seeker anambie walau iniburudishe kwa muda huu
0 Reactions
24 Replies
13K Views
Back
Top Bottom