Enzi hizo

Enzi hizo

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
1,766
Reaction score
2,437
Hawa jamaa walikua wananikosha sana Enzi hizo

" Ma-braza Men kwa kupenda sifa wanashinda Masaki wanalala Tandika "

"Nyumbani ni Nyumbani kwa jirani siyo kwako jishughulishe upate kwako.
Usidharau kwenu hiyo haifai tena nishai, Au kwa kuwa asubuhi hakupikwi chai? Au kwa kuwa umekua palipo kulea unapateua hii dunia bwana isiwe inakuzingua"

Shibe eeeeeeeeee
Shibe eeeeeeeeee eeeeeeeeee
Hainogiiiiii

"Katoa namba za simu feki ukipiga unaambiwa samahani kaka umekosea huyu jamaa hakai hapa "

Enjoy it.

Nyumbani ni nyumbani - wanaume Family
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom