elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,732
Natafuta jina au mwenye wimbo wenye hizi lyrics utakuwa wa 2005 kurudi nyuma
Najutia najutia najutia mimi najutia
Sijui nini wazazi wangu watajivunia
Najutia
Ndani ya shimo nimetumbukia
Sioni njia wala pakumbilia
Kila kukicha mwenzenu mi nalia
Kila kukicha mkono shavuni najutia
Ndiyo mistari nayokumbuka anayeufahamu please aniambie unaitwaje au mwenye nao
Najutia najutia najutia mimi najutia
Sijui nini wazazi wangu watajivunia
Najutia
Ndani ya shimo nimetumbukia
Sioni njia wala pakumbilia
Kila kukicha mwenzenu mi nalia
Kila kukicha mkono shavuni najutia
Ndiyo mistari nayokumbuka anayeufahamu please aniambie unaitwaje au mwenye nao