Chorus zipi Q chief alifanya vizuri zaidi?

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
14,537
31,686
Tukiongelea wakali watatu wa chorus hapa bongo basi huwezi acha kumtaja Q chief..
Mimi kwangu top 10 ya chorus alizofanya ni kama ifuatavyo!!

1. Kazi ipo-Wanaume TMK
2. Sintobadilika-Mike T
3. Fani katika maisha-Mzimuni Family
4. My boo-Jafarai
5. My boo rmx-ya kwake
6. Msinitenge-Prof J
7. Kilio changu-Solo Thang
8. Bonge la toto-Hot pot family
9. Amekoma-Mh Temba
10. Kama yule-Ya kwake

Je ww chorus kali toka kwa Q chilla ni zipi!!
 
Chorus Kali za QChillah ni;

1. Mpiga Debe (Fani katika maisha)
2. Kama unataka dem
3. Aseme

Kwangu mimi hizo ndio chorus za kujivunia za Chillah

NB: Bangi na poda mbaya sana, kama ulikuwa humjui 'QChief' msikilize kwenye hizo nyimbo 3 halafu uje umsikilize anavyoimba sahivi, utakataa maana sauti ni tofauti kabisa
 
1.Fani katika maisha/Mpiga debe
2.Kama unataka demu
3.Good Bye

Kwangu Q.Chief ndio mkali wa chorus kwa muda wote kwenye bongo flava pembeni ya Ali Kiba na Juma Nature.
 
nipo, nilikuwepo na nitakuwepooox2
amani kwa masela waliotutoka dunia mama ee
machazi wangu. hala babyX3
afu babilon byser akapasuka pale kati
 
1.Fani katika maisha/Mpiga debe
2.Kama unataka demu
3.Good Bye

Kwangu Q.Chief ndio mkali wa chorus kwa muda wote kwenye bongo flava pembeni ya Ali Kiba na Juma Nature.
Kwangu mimi Q-chilla ndio mwanamuziki na mtunzi mahiri wa muziki wa dance na afro pop Tanzania.

Hana chafu hata moja...alizoimba mwenyewe alizoshirikishwa kote kakalisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom