cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Nakumbua mwanzo mwa miaka ya elfu mbili mziki wa bongo fleva ulishika kasi sana,ulikua kama tunavyoichukulia singeli saizi
Vijana wengi walifungua studio na wengi waliingia katika tasnia ya uandishi na mziki wa kufoka foka redio nyingi zilitoa support kupiga nyimbo hizo na msanii alikua masikini wakutopea.
Nakumbuka makundi ya Muziki huo enzi hizo yaliyo kua juu moja wapo ni Deplomats,GWM,LWP,waswahili,Manzese crew,Mabaga Fresh,Kwanza Unit,Hard blasters etc
Radio presenter walikua kama dhahabu,wengine wakajipa hadi umeneja kwa kuwanyonya wasanii kwasababu moja tu eti wange wapa airtime sana na promotion redio zingine kwa sababau wanafahamiana,
Kipindi hicho wanamuziki wa bongo walikua wanaimba mziki wakweli bila kujali kuuaza au vipi ila mizuka na uhodari wao tu,
Nakumbuka sana enzi hizo Profesa J anajiita Jay wamineli Sugu anajiita Two proud,Dulla so anatamba kwenye chat na GWM wananyimbo Mama mwenye nyumba dully anatoka na Julieta
Arusha Xplastaz wako juu,
Mziki ule nimeumiss sana hadi nikatamini turudishe zama hizo Abubakar sadik yuko juu sana Radio one iko juu.Na Clouds Fm ndio mpyaaa habari ya mujini na DJ JD.
Nadhani pesa kwa wanamuziki imefanya wawe juu ya producers sasa hakuna tena ufundi zaidi procucer studio anaelekezwa atengeneze beat na mziki kama msanii ambavyo anataka na sio kwa uweledi,ukisikia myimbo ya Mbongo kama Ya Nigeria isipokua lugha tu.
Natamani turudi zama hizo mziki ulikua mtaaamu kama Singeli saizi very Innocent
Nakumbuka sana