Kwa wale wapenzi wa Mafia movies God Father trilogy in best Movies of all time

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,801
nilianza kuangalia movie za Godfather muda mrefu sana,Kuna ndungu yangu alikua anaangalia kipindi kicho mimi mdogo sana sikuwahi kuzielewa na lugha ndio ilikua haipandi na kipindi hicho
movie kama haina mijegeje ilikua utani tu

Nilipo kua kua nikaziludia movie zile tatu godfather part 1,2,3 ni balaa sana Hasa Al pacino
katika part 2 ndio alitia fola

unaweza kumbuka ni part gani ya movie ilikufurahisha sana,
 
Back
Top Bottom