Unazungumzia vipi ujio wa colabo ya Ben Pol na Diamond Platnumz?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
98c5db94e5092b2a3613913a70f07a8f.jpg

-Maoni
Nini kiwepo kipi kisiwepo
-Ushauri na mengineyo mengi kwa colabo hii mpya kabisa Brand New!!!
 
"Nini kiwepo kipi kisiwepo" duh hapa najiuliza mtoa mada ni Ben Pol,Diamond au ndugu mtengeneza mdundo umu ndani kunaondoa stress za maisha sana,msisahau kuweka midundo ya singeli ila waimbe kama wa-Naijeria na mwisho wa wimbo wasisahau vile vijembe hua vinaleta mzuka sanaaaaaa
 
Itakuwa poa sana vilevile kijana angeomba na usajili pale Wcb nae aanze kukwea pipa kama mwenzake Mavoko!
kabisa..
watu wanadharau tu lakini WcB ndo pakufanikiwa.
wasomeupepo Kama mavoko ,now anakula bata tu ,show hawatafuti
ni ratiba tu!
qchillah juzi clouds360 kahojiwa kaficha ficha Ila inaonekana nae soon atakua WCB

tutaona sasa atakavofika mbali.. atarudishwa kwenye trending list.
Mimi ningekua msanii, wallah hata Kama simpendi diamond, ningejiunga nae
maana
if you can't beat them join them
 
Well said
 
Back
Top Bottom