Habari za jioni wanaJF, Nitangulie kumshukuru Mungu kwa siku ya leo.
Na ninamshukuru kunipa nguvu hadi kuwaangalia Zimbabwe wanavyomtesa bingwa wa jangwa(Algeria).
Kwa mkiki wanaoupata Desert...
Napenda movie za aina hiii hua zinanifurahisha sana nyingine ni Merlin hawa watu wanajua kuigiza kiukweli,pia story zao tamu balaa,,kwa aliewah kuziona hizi movie anajua namaanisha nini,sasa hawa...
Hello people kama Kuna mtu yupo dar atapenda tu exchange series na movie anicheki Nina series nyingi za kikorea na English series na nyinginezo
Example-scandle
Intelligence
Mettador
The...
Miaka ya nyuma kama saizi tayari akili za watanzania wengi zingekua zimeelekezwa kwenye
maandalizi ya michuano ya AFCON ila saizi sisikii chochote about hii issue zaidi ya Diamond
kwenda...
Wasalaam wana jamvi...
Kwakweli vijana wetu wanajua kutumia fursa kwakweli kuna msanii mchanga ana jiita harmo Rapper ana fanana sana na harmonize hasa harmonize yule ambaye kabla hajaanza kupaka...
January 12 ikiwa ni siku ya mapinduzi ya Zanzibari kupitia ukurasa wangu wa Facebook wa Sangujoseph niliweka Post iliyoshauri kutunukiwa kwa Phd ya heshima kupitia sanaa ya Muziki kwa mwanamuziki...
Today I would love to share my top 3 list of inspirational and very touching music videos..You can also add more on this list..Enjoy your weekend and stay blessed!Love you all.
1. Ed sheeran-Make...
Ni maojiano yaliyo fanyika katika kipindi cha hara za roho na kukili kuwa alienda kwa mganga akisema nilienda kwa mganga si kwa ajili ya miziki ni kwa ajili ya maisha yake ni baada ya kushawishiwa...
Breaking News!!!
YAMETIMIA! Katika kile kinachoendelea kuthibitika kwamba mechi zinazowakutanisha wapinzani wa soka la Bongo, Simba na Yanga ndizo zinazoamua hatma ya makocha wa vilabu hivyo...
Kuna mwanamziki wa kitambo mwanzo mwa miaka ya 2000's alisumbua sana na kibao chake Bila sana jina lake Imam Abas ic nakumbuka sana mizuka ile katika game hili la sasa jamaa alikua so far gone...
Hawa jamaa walikua wananikosha sana Enzi hizo
" Ma-braza Men kwa kupenda sifa wanashinda Masaki wanalala Tandika[emoji12] [emoji12] "
"Nyumbani ni Nyumbani kwa jirani siyo kwako jishughulishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.