Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wandugu kwema? Heri ya krismas, yaaani nakwambieni kiukweli wimbo wa darasa" muziki" raia wameuelewa kwa kweli, hadi kina mama watu wazima wanaucheza kwenye kumbi za pombe, Hamna cha kajiandae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waigizaji wa kibongo bana bora waigize komedi tu. Ona hili igizo la Yesu mahojiano kati ya Maria na Joseph juu ya mimba ya yesu. Joseph anamuuliza Maria Joseph: Maria hii ni mimba ya nan? Maria...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wandugu, Wale wataalamu wa hizi mambo...nijuzeni website ipi ninayoweza kuipata hiyo series.
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Habari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii mimi kwangu ni nyimbo nzuri ya kufungia mwaka 2016 STUNTER @hancemtanashati atoto miss chagga Scorpion me Eli79 mshana jr @Bextous @Bold Miss Natafuta JJ'e @chiquitita FaizaFoxy nimeshindwa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba msaada kujua website ambayo nitapata latest movies
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Habari wana JAMII FORUMS, Mimi ni Blogger na nilikuwa najaribu kujiunga na kampuni ya matangazo ya www.seebait.com lakini baada ya kupata codeza html nilipoziweka zinadisplay empty, tafadhali kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naipenda timu yangu Tunaongoza 1-0 dhidi ya JKT Ruvu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabody kwema? Nina kijiswali tu katika tasnia hii ya burudani, ni hivi Mara nyingi nikiskilza matangazo kweli radio yaa promo zikiruka hewani kuhusu mziki utaskia msanii flani atakuwepo na...
0 Reactions
2 Replies
813 Views
Kati ya TV hizi mpya ambazo naziona katika king'amuzi cha STARTIMES ipi unaitabiri kufanya vizuri ,na kubamba zaidi wabongo? ..1...TV -e ..2...Africa Swahili TV ..3...Tabibu TV Nawasilisha
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hawa walikuwa na watu wanajua kutengeneza ngoma nzuri saana. Ila maisha yanaenda kasi saana kwa sasa ni watu tofauti wenye mtazamo tofauti na pengine chuki. Kwangu ndo ngoma bora toka kwao.Japo...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
CONSIDERATIONS FOR 2017 ________________________________ 1. ON EARNING: Never depend on single income. Make investment to create a second chance. _________________________________ 2. ON SPENDING...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Kwa kweli hawa wanamuziki waimbe studio tu huko sauti zinatengenezwa hata mimi naweza live wako hovyo sauti mbaya WCB jamani nawapenda kwenye CD tu nikawasikia live nawashusha hasa huyo Queen...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Hii ngoma imefia wapi maana kitaani ni mziki by darasa na kokoro kwa mbaaaaaaaaali lkn hii ya wazee wa masauti, wazee wa kutengeneza mziki mzuri mbona siisikii au ishajifia tyari.... Natanguliza...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
VIDEO ya Wimbo Muziki ya Darassa Yaweka Rekodi Nyingine YouTube Rapper Darassa ameendelea kuweka rekodi mpya katika muziki wake kupitia video yake ya wimbo Muziki ikiwa ni siku 28 toka kazi...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
Mabibi Na Mabwana Nakitambulisha Kwenu Kichwa Kipya Katika Mziki Wa Kizazi Kipya |BONGO FLEVA| Cblood Wardarama..Jamaa Anatokea Pande Za Tandale...Ameshatoa Nyimbo Kibao Kibao Tu Na Hii Ni Single...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Back
Top Bottom