HAKUNA gazeti lililoiponda YANGA pamoja na kupigwa 4-0 na AZAM

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,123
10,233
Kweli YANGA ndio inauza magazeti ya Tanzania,ukiiandika vibaya huuzi gazeti siku hiyo,naona leo Wahariri wote wameipa uzito mdogo hii habari ya kufungwa YANGA.Basi sawa YANGA.
20170108_183812.jpg
20170108_183802.jpg
20170108_183743.jpg
20170108_183727.jpg
20170108_183716.jpg
20170108_183705.jpg
20170108_183656.jpg
 
Usiku ulikuwa mwingi magazeti walishamaliza process walikuwa wana print, subiri kesho jumatatu.
 
Yanga hawakuwa wanahitaji ushindi wala sale,wao waliingia dimbani kufanya mazoezi na kama hamuamini subirini 3+1 majibu mtayapata.
 
Back
Top Bottom