Msaada: Nautafuta sana huu wimbo

Msaada: Nautafuta sana huu wimbo

Jiraniyetu

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
350
Reaction score
333
Wadau habari za weekend,

Nahitaji kufahamu jina la wimbo wenye mistari hii.

Machozi yangu yanibubujika.Wewe umekwenda ni kama wa msiba hivi.
 
Wadau habari za wikiendi,nahitaji kufahamu jina la wimbo wenye mistari hii.

Machozi yangu yanibubujikaaaa.
Wewe umekwenda...ni kama wa msiba hivi..
wimbo unaitwa 'rail on'.. wa papa wemba
...... noma sana kijana
 
Back
Top Bottom