Wimbo mpya wa Aslay - Kidawa

Wimbo mpya wa Aslay - Kidawa

Kundi lao nasikia lipo taaban wakati muda huu ilikuwa kupga show kwa sanaa
 
Hiyi ngoma ilitoka muda Sana sema wabongo tupo bize na hizi timu zetu
 
Wimbo umetoka unagonga miezi 3 sasa... Thoug ni wimbo mzuri na niliupenda since day one
 
Me nimeanza kuusikia juzi, kila muda baby brod anauimba, ni mzuri kwa kweli
 
Back
Top Bottom