Udaam: Chakoli filam inayotesa wakazi wa Dsm

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Ninaishi Dsm ni miaka Mingi sasa nanunua CD lkn mwaka Jana nimeshuhudia watu wakinunua flam ya udaan maarufu Chakoli

Nashauri waigizaji wa bongo waangalie wasituigizie vituo vyao... sijui anti nani, sijui wewe, sijui kihiyo gani, angalieni wenzenu
 
Nilipita k/koo nikakuta watu wanazigombania madukani.nikanunua dvd mbili nikasema ngoja niwapelekee nyumbani waangalie ni nini kinachogombaniwa...najuta kwa uamuzi ule maana udaan imekuwa gumzo nyumbani kwangu kila siku naagizwa nilete "inayofuata".na jinsi dj murph alivyomuhuni ameweka vi epissode kumi kumi ktk kila cd...na udaan yenyewe iko sehemu ya mia sita na ngapi sujui sasa si kufilisiana huku....Lol
 
hee, mimi nimeamua kuhama sebuleni, nikirudi mapema huwa nakuwa bored sana na vile sina hela za kukalia viti virefu kutokana na hekaheka za desemba na januari ada ni tabu tupu najifungia chumbani na kuchat tuuuuuuu mpaka nachoka
 
Nimebuni mbinu ya kuomba CD wanavyozinunua nanunua SEHEMU chache za mbele nawapa wao wanakopa SEHEMU zoite zilizopita
 
hakika navyowachukia wahindi nahisi kuchukia hadi sanaa yao.. kuna wakati nikikuta mtu kaweka chaneli ya colors kuangalia hiyo namfokea hadi atajuta kuiweka!
 
Wahindi siwapendi kabisa, nilimtongoza dem mmoja wa kihindi my first date, najuta kukosa kimiminia
 
hee, mimi nimeamua kuhama sebuleni, nikirudi mapema huwa nakuwa bored sana na vile sina hela za kukalia viti virefu kutokana na hekaheka za desemba na januari ada ni tabu tupu najifungia chumbani na kuchat tuuuuuuu mpaka nachoka
Natamani sana nifikie level yako ya kua na kifurushi cha ku-chart
 
Back
Top Bottom