Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

I have asked by someone here to differentiate between a beat and an instrumental, please share your ideas to spread knowledge.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kwa nini Wanamuziki wa Uingereza wanavyooongea na wanavyoimba ni tofauti? Wakiimba wanaimba Kimarekani lakini ukiwasikia wakiongea wanaongea kikwao, mfano nimesikiliza nyimbo nyingi za Elton...
0 Reactions
2 Replies
904 Views
Salaam. Nimeangalia Movies fulan za Kuogofya, mie kwa upande wangu zinanivutia tu. Zinatisha ila najikuta naangalia zaidi na zaidi, na pale zinapoishi napenda kutazama zaidi. Sasa zilizonigusa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ICECREAM ni moja ya ngoma zilizoniburudisha sana enzi hizo za sekondari na kuufanya ujana wangu ubaki na memories za kuvutia. In short huu wimbo uliitendea haki fasihi kwenye upande wa...
8 Reactions
72 Replies
11K Views
Yoyote anayefahamu Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo anifahamishe..
1 Reactions
12 Replies
4K Views
1. JOLIE (Haimaanishi) 2. KELLAH (Ukinimiss) 3. RINI MARII (Salaam) Hawa wadada naona walianza vizuri sana career yao ya muziki, ni vipaji halisi but what happened then? Mbona wako kimya...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Mimi mwenzenu katika pitapita za hapa na pale, nimekutana na huu wimbo katika moja ya kituo cha redio. Mashairi - "Baba kaleta mbwa, Aaaaaah, Hapana usiseme mbwa, Sisi ni wahehe (unaendelea hapa...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Wandugu tupunguze stress kidogo tuongee siku za kuishi km ni kweli huwa znaongezeka. [emoji1787]
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nimekumbuka hali ilivyokuwa katikati ya miaka ya 70 wakati huo ambapo tayari nilikuwa mmoja ya wanamuziki kwenye kabendi ketu kadogo ka pale Iringa mjini. Kabendi kalikoitwa Iringa Jazz band...
10 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu atimae Harmonize leo ameamua kumaliza bifu lake na EATV, amepiga stori mbili tatu na Tbway katika kipindi cha Friday Night pia amemtambulisha msanii wake ibrah ambae alikuwa akitambulisha...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakina dada hawa wamekuwa wakipendezesha videos na kuwa na mvuto lakini sidhani kama wanapata maslahi ya kueleweka zaidi ya umaarufu. Nadhani ni kazi ambayo ni ya gharama hasa kuwekeza kwenye...
0 Reactions
9 Replies
828 Views
Watanzania tuanzishe mazoea ya ku wa unfollow wanaopost mambo ya kijinga mtandaoni.... Nadhani ni muda muafaka sasa ni sisi watanzania tunaotumia mitandao ya Kijamii hasa facebook, instagram...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu Kwema, Miaka Fulani nyuma kwenye 199X kituo cha Luninga cha ITV kilikua kikionyesha hii movie ya Mortal Kombat lakini kwa mtindo wa episodes. Yaani kila wiki wanatupia moja nadhani wahenga...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Album ya Afro East Inaendelea Kufanya Vizuri Kwenye Digital Platform mbalimbali
7 Reactions
24 Replies
4K Views
By Sangu Joseph . Ninawaza kuwaambia watu nimeiona video ya Bedroom ya Harmonize_tz na hasa nikikumbuka Mzee wangu Jakaya Kikwete alipoteza muda wake kushuhudia uzinduzi wa hii Audio, nadhani kama...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimeisikiliza hii nyimbo ya Harmonize na watu kibaoo matusi matupu yamejaa ni aibu hata kusikiliza na mtoto au mtu mnaeheshimiana. Kwanini wasanii siku hizi wanaimba matusi namna hii...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
Mfano nyimbo ya tamaduni music - Jemedari au NashMc - Mapendo...... Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Leo naomba nijaribu kuwaletea nyimbo 20 bora kabisaa za za mtoto wa mwanamuziki nguli wa zamani mzee mwinjuma aka mc mbondei Ambazo hazitakuja kukaa kuchuja zingne ni za zamani ila kwa ubora wake...
7 Reactions
77 Replies
21K Views
Habari waungwana. Kwa wale mnaoikumbuka Diamond Sound, ambapo makao yao makuu yalikuwa Mwenge Pale Silent Inn Club. Tafadhali kwa Mwenye Nyimbo zao naomba tupia humu, Nyimbo zao ninazokumbuka ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kipindi kidogo ndani ya kipindi cha PLANET BONGO cha EAST AFRICA RADIO NA TV kinachoongozwa na mtangazaji Abdallah Khamis Wambuwa, Ambacho kinatambulika kama DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI Ambapo Rapa...
1 Reactions
41 Replies
17K Views
Back
Top Bottom