Boeing 757
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 288
- 612
Wadau nahitaji kujua maana ya yale mashairi yaliyopo kwenye huo wimbo wa huyu mwanadada raia wa Ireland aliouimba nikiri kusema ni moja kati ya NYIMBO BORA DUNIANI iliyowahi kuimbwa.
Huo muda bora nikajichue.
Verse 1]Weka jina la wimbo na jina la muimbaji