Story ya Niwa na Mwl. John

RAKI BIG

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
394
456

Weekend tulivu, Mwalimu John kapozi zake Huku akifuafua vijisarawili vyake viwili vitatu kuisindikiza. Akiwa bize kufua na kule simu inaita, kuitazama Namba ngeni. Anaipokea taratibu sauti inaongea kwa mbaaali, haisikiii vizuri.

MWANAFUNZI: Hallow Sir
MWALIMU : Habari hujambo?
MWANAFUNZI : Sijambo, Shikamoo...
MWALIMU : Marahaba, Naongea na nani, Sauti hii Si ngeni japo sikusikii vizuri...
MWANAFUNZI : Unaongea na Niwael Kiondo nimepewa namba yako na Greyson
MWALIMU : Niwael Kiondo huyu Mwanafunzi wangu?
MWANAFUNZI : Ndiyo Mimi Sir Shikamoo
MWALIMU : Marahaba Habari za Masiku, Vipi matokeo, umefaulu kuingia Form Three?
MWANAFUNZI : Sijambo Sir, nimefaulu ila Mimi shule sitaki tena, nimechoka kuchapwa.
MWALIMU : Mmmh! Sasa ukiacha shule utachapwa na Maisha, Kama umefaulu Ni Bora uendelee umebakiza Mwaka huu tu, mwakani...
Akakata simu
KESHO YAKE
Hakupiga simu, akatuma msg...
MWANAFUNZI : Hello Sir!
MWALIMU : Poa za kwako.
MWANAFUNZI : Salama, I miss you Sir, Mbona shule imefunguliwa naambiwa wewe Bado hujafika?
MWALIMU : Nimewamiss pia, Nani huyo kakwambia sijafika hahaha... nitakuja hivi karibuni...
MWANAFUNZI : Mimi sipo shule, marafiki zangu Ndio wameniambia haupo
MWALIMU : Ni kweli sijafika shule, nipo Dar kidogo Kuna mambo nayaweka sawa..
MWANAFUNZI : Kumbe upo Dar Sir
😳
a, Na Mimi pia nipo Dar nipo kwa Dada External Mtaa wa Kwa Mbonde karibu Sir
MWALIMU : (Huku akishawishika na akifikiria miaka 30 jela endapo ataingia tamaa, Basi akajikuta akisema tu... Ahsante nitakuja siku moja
JIONI YAKE msg ikaingia...
MWANAFUNZI : Sir kwani wewe upo, sehemu Gani?
MWALIMU: (Shetani anataka kumzidi speed, Anaweweseka ajibu ukweli ama amdanganye Mara anajikuta anaropoka (Kwa Sasa nipo Mwenge Kwa mdogo wangu Ila gheto kwangu Ni River Side Karibu na Stendi ya Makoka)
MWANAFUNZI : Hapo River Side na hapa kwetu Ni karibu, Bodaboda Ni 2000 tu, si uje kutusalimia jamani Dada atafurahi Sana...
MWALIMU: Haya nitaangalia nikipata muda
MWANAFUNZI : Nitafurahi Sana ukija, hata ukishindwa Basi niruhusu mimi nije nikusalimie hata kesho ila iwe mchana kuanzia mida ya saa sita mpaka kumi na nusu hivi nakuaga free sana
MWALIMU
πŸ™
..mmmh majaribu haya) okay nitakwambia usijali
MWANAFUNZI : Sawa Sir, tchao..
MWALIMU kichwa ikaanza kugonga, roho inasema sitaki nataka, nafsi inasema Kuna kufungwa miaka 30, Mwili unasema acha uzembe Mtoto wa kiume, Huku akili ikimkumbusha YEYE Ni mtumishi wa Umma
ASUBUHI
Msg ikaingia
MWANAFUNZI : Good morning Sir, Umeamkaje.
MWALIMU: Morning, nimeamka poa, namshukuru Mungu...
MWANAFUNZI : Sir, leo mchana namsindikiza Ndg yangu Ubungo anasafiri, nikitoka nije kukusalimia hapo kwako?
MWALIMU : (Huku Akiwa na mchecheto anatetemeka tetema, anajikuta anajibu) Okay Karibu utanikuta
MCHANA ukafika, Mwanafunzi hakuna Cha kumsindikiza ndg yake Ubungo Wala stesheni, yupo zake room anajipigilia amtembelee Mwalimu wake Huku Mwalimu akifanya usafi chumbani kumsubiri mgeni wake..
MWALIMU ameshamaliza kuosha Kila chombo, kafuta kitanda, kafuta vioo, kabadilisha Hadi pazia la mlangoni, Sasa yupo bize tu anabadilisha Kila saa shuka Mara atandike hii aondoe atandike nyingine...
Mara Msg inaingie muda wa saa Saba Kama na dk 5 hivi, Mwalimu Kwa haraka anaifungua anakutana na msg ya TigoPromo, anabaki kusonya na kutukana...
Anakaa kidogo simu inaita, Namba ngeni, anaipokea anakuta Ni TigoBimaMkononi, Basi anakasirika na kukata simu.
Anaamua kumpigia NIWA hapatikani, Hasira zinamjaa, anajiona usafi alioufanya Ni Kazi bure, anakunja sura anajijaza sumu mashavu kayafutua Kama nyoka kifutu.
Akiwa na shauku ya kuona msg ama simu ya NIWA ghafla inaingia simu ngeni, anaitizama anataka asiipokee Lakini... Anapokea...
MWANAFUNZI : Sir Mimi NIWA, simu yangu imezima chaji, Nimefika hapa Stendi ya Makoka muelekezu Huyu Bodaboda anilete.
MWALIMU : Okay, Sasa njoo kufuata hizo gari za Kwenda Kwa Makoka ukifika juu kidogo hapa yanapokatiza magari ya kwa Makoka wewe usikatize njoo Kama unaenda kanisa la Mzee wa Upako, kwa mbele kwenye maduka utakuta Njia mbili, fuata hiyo ya kulia kwako, ukitembea kidogo tu utaona ghorofa, nyeupe pembeni ya hiyo ghorofa Kuna nyumba ya ina geti jeusi Ndio napoishi
BODABODA : Poa poa, dakika sifuri tupo hapo.
MWALIMU akachukua Air fresh akapulizia room, akachukua spray akajiweka fresh akafungua PK akatupia mdomoni kupata fresh smell.

Mara Simu inaita, anaona Namba Ile ngeni, kupokea, NIWA anasema, tupo getini Sir
Mwalimu anaruka Kama kakanyaga nyoka, chap kwenye kitasa Cha mlango, huyo haraka getini, Mara anamuona NIWA , NIWA kawa NIWA, Joto la Dar limemnogesha, Chipsi mayai ya Broila zimemfyatua umbo Kama mwanadada kumbe kajitoto kanachopaswa Kuwa Form Three B
Basi mwalimu anamlipa Bodaboda pale anamkaribisha Niwa Ndani... Hao wanakwenda room.

Itaendelea nikipata bando
πŸ˜…
πŸ˜…
πŸ˜…
 
Back
Top Bottom