Hii show mpya ya The big Sunday live wasafi TV

KITINDIKITAMU

Senior Member
Nov 3, 2019
189
356
Hi guy's

Nimeicheki hii TV show mpya ya wasafi TV
Ni kwamba Hatuwezi kusema ni new idea au creativity but Nimeona utofauti fulani.

Watu wanaweza kuifananisha na TV-E show ya homa,au CLOUDS TV washa kideo,au EATV Friday night live,lakini ni tofauti kabisa.

Kwanza upande wa setting ya stage ni kali sana na ni international level Kama ile ya BET na hii nadhani ni zaidi.

Pia Kulinganisha na other bongo TV shows,hii naona inaendana na ile ya BET kwa ile kuwashirikisha audience ndani ya studio kwa kuuliza maswali nk.

Kwa kweli jamaa wamejipanga na wamewekeza sana kwenye hichi kipindi,ni inavutia kuangalia jinsi mazingira ya studio yalivyokuwa ni moto sana.

But naona kuhusu suala la host wa kipindi hicho ilitakiwa watafutwe wengine na si wale kina liliommy na wenzie wa kwenye the switch,
Kuna kina calypso,mtuimara na hata wangewatafuta watangazaji wengine kuhost kipindi hicho Kama vile Sam misago.

Hii ya kuwaweka watangazaji walewale tunawachoka Haraka kuwaona daily team ile ile kwenye show.

Kwaiyo setup ya show iko poa but upande wa watangazaji sijaona ubunifu mpya wala Ladha mpya,watafute face mpya kwaajili ya show hii

Wakiweka face za watangazaji wapya hapo kipindi kitatisha sana,japo sio kwamba waliopo hawawezi kubamba hapana,wanaweza but upande wangu naona kama haipendezi kutumia team ya presenters walewale kwenye show zaidi ya moja.
 
Kile kipindi kwenye setting wamezingua upande wa LIGHTING. Mwanga hafifu watu hawaonekani vizuri hadi uongeze mwanga wa TV. Hebu waangalie 106&Park watajifunza kitu. Wahusika wacheze na taa vizuri.
True chief,but nadhani kwasababu ndio Wanaanza nadhani wataliona hilo na kurekebisha,pia hata sauti inazungua sometime
 
Kuna show moja NTV uganda danceshow,kila jjumamos usiku ile siyo ya dunia hii,,wale madj ni wa kiwango haswa
 
..matiti mazuri

Tv inabidi demu uwe na mvuto in general mkuu

Aaliyah yule mtoto namuelewa..hajaolewa kweli
Najua tv wanaangalia mvuto in general ila Binfsi nampenda Sana Calypso hasa matiti yake Mungu amembariki aisee kwenye hii idara.Kuhusu Aaliyah hajaolewa kabisa ila kuhusu yupo single or kwenye relationship hiyo sijui naona mzee weupe umekupagawisha haswa.
 
Back
Top Bottom