You must watch hizi scariest movie of all time (30 list)

DAD'S SON

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
392
500
Mimi ni bingwa wa kucheki mamovie ya kutisha tisha sana mpaka home walikuwa wakiona nawasha tv au naweka CD watu hukimbia vyumbani.

Asikudanganye mtu hizi movies kuzicheki lazima uwe na two hearts

Here we go

1.The exorcist
2.the shinning
3.A nightmare on elm street
4.the conjuring
5.the ring
6.The grudge
7.Insidious
8.Halloween
9.saw.
10.Friday the 13th
11.psycho
12.paranormal activity
13.the silence of the lambs
14.the thing
15Jaws
16.REC
17.the woman in black
18.38 days later
19.Scream
20.Candyman
21.dead silence
22.the evil dead
23.The exorcism of Emil rose
25.Amityville horror
26.saw iii
27.sinister
28.night of living dead
29.suspiria
30.dawn of the dead.

Ukimaliza kuziona naomba feedback
 

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
15,281
2,000
Mkuu nipe list ya za porini au kama zipo hapo nitengee nizitafute maana mimi napenda movie za kutisha za porini au survival movies pia
 

cipher_

Senior Member
May 6, 2020
170
250
Hizo movies nmeziangalia zote,zimejichanganya kichwani na kutengeneza a single muvi inaitwa PTSD...hadi leo naota.

Characters wa kwenye Insidious ndio wamo wengi.


Weka mbali,VERRY FAR na watoto.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom