Wana (Zuchu) Vs Dodo (Ali Kiba)

Dong Jin

JF-Expert Member
Jun 4, 2018
754
1,442
Hizi nyimbo zote ni mpya, na zina mahadhi yanayofanana...

Dodo iliachiwa jana chini ya Kings music na Wana imeachiwa leo chini ya Wasafi label

Kwa mtazamo wako upi wimbo ni mkali kuliko mwingine bila ya kujali jina wala label aliyopo msanii husika
 
Izi zingine Dharau sa

Sent from my SM-A105G using Tapatalk

Hakuna cha dharau hapo kama Alikiba aliamua kuja kwenye muziki anatakiwa awe tayari kulinganishwa na kupambnishwa na yeyote yule ambaye ana shiriki muziki! Kama hataki basi aachane na muziki!

Ukweli ni kwamba wimbo wa Alikiba a.k.a Mfalme Helode ni mbaya na ni mmoja wa wimbo mbovu sana toka kwa Alikiba hakika Alikiba anavunja moyo.....

Kama ukilinganisha Dodo na Wana kama utaangalia nyimbo tuu lazima ujue Wana ni wimbo mzuri kuzidi Dodo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
hapo mhaya umenena.... unapoamua kuingia vitani ule mguu wa kuku haujalishi we ni kuruta au jenerali, wote mnakufa kifo kimoja...

vita ni vita muraa
 
Hizi nyimbo zote ni mpya, na zina mahadhi yanayofanana...

Dodo iliachiwa jana chini ya Kings music na Wana imeachiwa leo chini ya Wasafi label

Kwa mtazamo wako upi wimbo ni mkali kuliko mwingine bila ya kujali jina wala label aliyopo msanii husika
King kiba ni king tu
 
Back
Top Bottom