Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kuna baadhi ya wasanii hasa wa muziki kwa kukosa kufanikiwa aidha kwa kutofuata kitu ambacho soko linataka au kwa kuwa na dharau kwa washika dau wamekuwa wakiishi bila mafanikio ya kupata pesa...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
IMEANDIKWA NA:GEORGE IRON MOSENYA SEHEMU YA 1 IMEANDIKWA NAYE: George Iron Mosenya SEHEMU YA KWANZA Maisha wakati mwingine si jitihada pekee zinazoweza kukutoa sehemu moja kwenda nyingine, kuna...
5 Reactions
180 Replies
64K Views
Ninachompendea Stephen King ni ule uwezo wake wa kuandika visa tetemeshi sana kutokana na wazo la kawaida mno - wazo ambalo mara nyingi watu hawalifikirii mpaka walisome kutoka kwake. Sasa kwenye...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wa Play Station (PS 4) FIFA 18 or 19 tujuane hapa.
0 Reactions
3 Replies
782 Views
Mwenye nyimbo ya MB Dogg inaitwa Tip Top ft Tip Top connection ya 2005 kama. Mwenye hiyo nyimbo msaada
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Vipi mchizi wangu nakuona umesizi, unaonekana kama moyoni una majonzi, au dili zako leo haziendi sawa? jinsi unaonekana kama moyoni umepagawa! niambie ili nielewe, ili na mie nisipagawe, kwani...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau wa nyimbo hasa zilipendwa kama Msondo,Sikinde,Marijani, Mbaraka,Les Wanyika nk ni tovuti (web) gani nzuri nitapata hizi nyimbo bure.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habarini za wakati huu, Nmekuwa nikicheza Pes for Pc kwa muda mrefu sana lakini je ni kwanini player akiwa HOME anakuwa na nguvu, speed na accuracy sana? Kuna jamaa nikicheza nae ikiwa yeye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwaaliewah kuiona tafadhal nisaidie
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mariooo ni miongoni mwa vipaji vipya vyenye potential ya kutosha ndani ya Bongoland, kijana huyo mwenye kipaji cha hali ya juuu aendelee kupasuaa mawimbi ya soko la Bongofleva baaada ya hapo jana...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
SIMULIZI; TAMAA ILINIPELEKA KISIWA CHA MAJINI SEHEMU YA KWANZA Jina langu naitwa Jackson Abell ni mzaliwa wa tanga shughuli zangu ni biashara kawaida huwa na chukua mzigo Zanzibar kwa bei nafuu na...
3 Reactions
23 Replies
19K Views
SCOLASTICA TEMU MTUNZI: INNOCENT NDASANYE NAMBA: 0755 040 520 “KWA nini iwe hivi?” msichana huyu mrembo, Scolastica Temu alijikuta akijiuliza swali hilo mara nyingi huku akiwa chumbani peke yake...
2 Reactions
210 Replies
36K Views
Wapenzi wa Hiphop tulitegemea baada ya diss track ya P Mawenge na Unju angekuja na diss track ya kumjibu ila imekuwa tofauti, naona Unju kaachia track yenye maudhui mengine. Sina hakika kama hii...
4 Reactions
90 Replies
10K Views
Kama ulivyosoma kwenye head lakini hiyo movie isiwe na genre ya animation tu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu wana jamii forums naomba msaada wenu je nawezaje kupata subscribe&viewers wengi kwenye youtube
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
poleni na pilika pilika za hapa na pale,Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kwa kwenye nyimbo hizo za KINYAMWEZI kutoka kwa muimbaji MWINAMILA kutoka tabora, nawasilisha Msaada it afadhali.
0 Reactions
3 Replies
16K Views
StarBoy Wizkid__Joro vs Davido__Risky Kama umewahi kusikiliza hizi mbili ipi kali zaidi kwa upande wako?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama Kuna mtu ana nyimbo ya usione Soo ya mwaka 2004 ambayo Ina wakina stara Thomas, solo thang, banana zoro, na Mr paul
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom