Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

1.Alianza mwaarabu,kutafuta mali zetu Kupitia marikebu,akafika pwani zetu aliwakuta mababu,wakinena lugha zetu Mzungu na mwaarabu,mbaya wetu ni nani? 2. Akauza zake shanga,vikombe na mabirika...
1 Reactions
2 Replies
778 Views
Kendrick Lamar anafaa kuwa mmoja kati ya Marapa bora America na Duniani kote?
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Jamani nilikua naomba kujua ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili katika Baraza la Sanaa na Utamaduni (BASATA),ili aweze kutambulika rasimi na kuweza kulinda haki za kazi zake. Kwa mwenye...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wapenzi wa movie za Hollywood, Nitajieni movie nzuri. Genre: Action /Detective / Adventure /Mystery /Sci-fi /Disasters /Wars / Crime Zile nzuri kabisa kwanzia mwaka 2005 - present -...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Ibraa kutoka konde music world wide Au! Mboso kutoka wasafi baby 👇👇
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Konde boy amepost twitter kwamba album ya pili ipo njiani mwaka huu. Ina maana album 2 ndani ya mwaka mmoja,nadhani hakuna aliyeweka rekodi hiyo bongo. Mtazamo wangu naona angepush kwanza nyimbo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Msaada mimi napenda sana muvi na tamthilia zilizotafsiriwa kwa anaejua chanel zenye movie na tamthilia zilizotafsiriwa kiswahili. Naomba mnisaidie
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Hii nyimbo imefanya maajabu mengi sana. Siku ilipotoka tuu ilikua trending kwenye nchi mbalimbali, ikaenda hadi kwenye nchi kubwa kama Marekani ilikua namba 40 on trending na Ufaransa pamoja na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini wakuu poleni na michakato ya maisha. Moja kwa moja niende kwenu nyie ma actors/actress wa bongo pamoja na directors,producer's mnakwama wapi ndugu zanguni ? Je tatizo ni nini? Ni...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
MSANII aliyejizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya Bongo miaka ya 2000, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ ameibuka upyaaa! Safari hii fujo na makeke yake yanatokea nchini Kenya ambako ameweka makazi yake...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Yupi ni rapper bora kwako wewe kati ya WizKid vs burna boy
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu Tommy flavour, ana uwezo mkubwa sana kimuziki, kwa maoni yangu sioni kama ni movement sahihi kuwa chini ya ali kiba, itakuwa ngumu sana kupanda chati na kukuza muziki wake Naona alipaswa awe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Eminem alirap kwenye Love the way you lie alafu Rihanna aliimba Chorus moja hatari saana kutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao. T.i alirap sana kwenye live your life alafu Rihanna huyo huyo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukisikia duniani watu wanasema huyu mtu ana akili, basi akili yenyewe ndiyo hii. Kujua matokeo ya maamuzi unayofanya. Wasomi watakwambia kila kitu kinawezekana. Lakini mimi nasema kuna vitu...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Aisee Mabaharia wenzangu tusaidiane kujua nyimbo zetu zilee ambazo huwa tunazitumia kama mtego geto, demu akijichanganya tu basi ananyonyolewa taaaratiibu Nikki Minaj -Anaconda- Enrique Iglesias...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii ni Moja kati ya wimbo uliobuma Mapema sana, Mtaani hausikiki, kwenye Media umebaki unapigwa Wasafi pekee, Mabodaboda pia wameupotezea, Everything back to Normal kama vile hakukua na Ngoma mpya...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
1.3 Idiots 2.John Carter 3.Kingsman: The Secret Service 4.Hurricane Heist 5. Hizi muvi nazikubali kinoma. Je kuna muvi zimefikia level kali kama muvi hizo nilizotaja hapo juu?
4 Reactions
56 Replies
11K Views
Kuna watu wanasema sijui ni gundu aukila shetani ana Mbuyu wake yani kama hapa tz watu wanavyoamini alikiba ana kipaji lakini Diamond anampita kwa kila kitu Basi ndio huko Nigeria napo kuna...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Dah! Kuna watu wanajua mpaka noma nimeskiliza ngoma ya huyu jamaa. Nadriki kusema jamaa anakuja kutake over game ya Hip Hop bongo nisiwachoshe Sana sikilizeni wenyewe ili dude
1 Reactions
83 Replies
9K Views
Kwa wale wa Arusha hivi Regals Cinemaxx wako open? Au watarudi lini kwa wale wanaojua? Na kama schedule ipo ?
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Back
Top Bottom