Nimetengeneza game nakuliweka Play Store

Nimetumia language yangu na game engine yangu mwenyewe. Soon nitaiweka iwe open source nakuwafundisha wengine kuitumia pia for free
Nilikua nataka sema hongera kwa kuja na game, ila kuona hii reply umenichekesha sana, acha kutudanganya mtanzania. Language yako na game engine yako mwennyewe ndo kitu gani? Unajua effort inayohitajika kutengeneza a full blown language ya kuweza kurun kwenye game engine na ikaproduce a fully working game kweli? na unajua effort inayohitajika kwenye kutengeneza a fully working game engine? Either ni ya kiloko sana au we ni time traveler from the future imekuchukua miaka mingi sana kutengeneza.
 
Ivi unajua kuna zaidi ya maelfu ya programming languages? Zote unazijua? Napia kila siku kuna new frameworks zinatengenezwa? Game Engine is just a graphics, physics and sound framewok. Na kutengeneza a new language ni kutengenezea tu compiler. Kwa TZ sio vitu popular but kwa nje ni vitu vya kawaida sana. Siwez kwambia inaitwaje na technolojia yangu ikoje ad nkiweka kuwa open source.
 
Ma Programmer wetu wahidi kabisa.
Sasa maana kusoma ni kukariri programming ulizofundishwa tu au ni kwenda extra mile na kuvumbua vya kwako kwa kuwa usha bobea.
Msimbishie huyo mtalaam ndo ashasema anachowaambia huenda yuko sahihi.
 
Nilikua nataka sema hongera kwa kuja na game, ila kuona hii reply umenichekesha sana, acha kutudanganya mtanzania. Language yako na game engine yako mwennyewe ndo kitu gani? Unajua effort inayohitajika kutengeneza a full blown language ya kuweza kurun kwenye game engine na ikaproduce a fully working game kweli? na unajua effort inayohitajika kwenye kutengeneza a fully working game engine? Either ni ya kiloko sana au we ni time traveler from the future imekuchukua miaka mingi sana kutengeneza.
mkuu usitumie energy yako ebu licheki kwanza gemu lenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma Programmer wetu wahidi kabisa.
Sasa maana kusoma ni kukariri programming ulizofundishwa tu au ni kwenda extra mile na kuvumbua vya kwako kwa kuwa usha bobea.
Msimbishie huyo mtalaam ndo ashasema anachowaambia huenda yuko sahihi.
Mimi style yangu ya programming sipendi kutumia tools, libraries na frameworks za watu wengine, ndio maana nawekeza mda mwingi kutengeza za kwangu mwenyewe, cuz zinanipa freedom yakufanya chochote kile
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom