Moja kati ya Tv Show tamu sana kwa wakati huu, jamaa wamecheza.
The Oval pia nasikia iko sawa ila sijabahatika kuipakua. Yeyote mwenye utaalamu rahisi wa namna ya kupakua HD Series I mean it HD...
Wadau habarini za saa hii,
kuna wimbo fulani nimekua nikiutafuta kwa muda mrefu YouTube bila mafanikio kutokana na kwamba sifahamu jina la wimbo huo ila naifahamu baadhi ya mashairi yake.
Wimbo...
Tukiachilia mbali mafanikio mwanamuziki pekee hasa katika hiphop ambae hajawai kuchuja ni Mr Blue. Huyu jamaa ni noma anajua anachofanya na ukijaribu kumshirikisha kakufunika mfano ule mwimbo...
WCB napenda kama zote hivi ila chache za Lavalava. Queen Darleen zizijui kabisa nisiwe muongo.
Usiende Mbali by Juliana Kanyomozi
Posa ya Bolingo by Alicios Theluji
Mpita Njia by Alicios na...
We unadhani nani mkali ? Ni kazi gani za hawa jamaa zinakuvutia? Hawa ma legend ni kati ya binadamu wachache sana ambao wameingia kwenye kumbukumbu za dunia kwa vizazi vya sasa na vingi vijavyo...
Hawa wana wanajua haswaa! Acha tuwape sifa zao! Asiyekubali ni mchawi,tena mwanga, tena yule mwanga anayewanga mchana[emoji851].
Hili goma ukilisikiliza linatoa mikosi yote, linaponya mapunye...
Huu wimbo mpka Mh.Magufuli alipimgia simu Mwana FA kwa mashairi yake..
Chorus
"We ni dume suruali kaa mbali nami,mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami,mbali...
Niaje, wakuu? Kama kawaida tunakutana katika mfululizo wetu wa tano sasa wa kugusiana filamu kuhamasishana kuzitazama na kuzielewa.
Bila maneno mingi, na tuanze. Karibu.
IDENTITY ya 2003...
Habari wana jamii forum.
Kiukweli hili halina ubishi wakuu.
Ukimskiliza huyu dogo anavyoimba sijaoana wa kumpanisha naye hapa Afrika.
Nilipomalza kumsikiliza kila mtu alikataa akasema huyu dogo...
SIKU NIKIPATA DEMU.
Nasema kinywa kipana , sasa nihofie nini,
Tena nasema kwa vina, kweli kutoka moyoni,
Maneno yatapangana , nitanadi hadharani,
Siku nikipata demu , ulimwengu utajua
Mbona...
Mfano ;-
1. Mungu Ibariki TANZANIA
2. Tanzania Tanzania Nakupenda
3. Tazama Ramani Utaona Nchi Nzuri
4. Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge na Kuuweka KILIMANJARO
Nani anajua historia ya hizi...
Hawa jamaa wakuitwa Sauti Sol ni hatari. Nasikiliza hii ngoma wakiwa na BurnaBoy inaitwa Afrikan Star ni hatari. Good Melody,Lyrics,Beats Etc.🔥🔥
Nakuja kugundua huyu jamaa mrefu ni zaidi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.